Kenya's Administration police are better equipped than the Tanzanian army.. Kenya's police budget is higher than Tanzanians defense's budget.. so you saying that Tanzania has the best army in East Africa is laughable. Judging by how Amin used to treat his military, its quite easy to conclude that they were demoralized, unpatriotic and poorly trained, so you basing your conclusion that Tanzania had the best army by the war you fought to remove Amin is, to be kind, dumb.
Wakenya kwa maneno ya majigambo mmebarikiwa! Ethiopia waliwatimua al shabaab kutoka Mogadishu ndani ya week moja tu, Nyie mnatolewa kamasi mpaka leo pamoja na mbwembwe zenu zote.
M7 aliwatimua kisiwa cha Migingo hahahahahahahahahahahahahahahahahah! mngejaribu kupeleka mamisifa yenu pale mngeona cha Mtema kuni,jeshi lenu tunalijua vizuri sana kwa taarifa yako hamna lolote zaidi ya sifa tu.
Kenya hakuna jeshi bwana ndiyo maana wasomali wanawachezea mbona hawasogei Kampala? walifanya mara moja wamedhibitiwa! nyinyi kila siku wanawafanyia vituko kibao vya mabomu,hata nairobi sio sehemu salama tena! subirini kuabishwa tu na waosnmali!
Kwa bajeti kweli bwana kwa misifa yenu ndhani hata jeshi la magereza la kenya lina bajeti kubwa kuliko mabeti ya Ulinzi Tanzania hahahahahahaha ama kweli wewe punguani kweli una sifa za kitoto!