Military strenghts my azz,muulizeni Gadaffi mbona hakuna hata jetfighter yake moja iliruka? haya majeshi yetu ya Africa yanayotegemea mpaka viatu kununua kwa mzungu mengi ni useless tuu na waste of good money bora watumia hizo pesa kujenga uchumi and educate their citizens kuliko huu upumbavu wa kununua silaha...unanunua jetfighters na ile radar ya Mkapa for biliions lakini wenyewe wanaweza jam air defence yako in minutes na kuifanya obsolete,Gadaffi na jet zake zilizo cost billions hakuna hata moja iliweza kuruka sasa kama sio waste of good money ni nini?