Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Afadhali umesema kuwa lengo hapo ni kupima idadi ya toroli,maana nilikuwa nimeishiwa pozi!!!Looks strange, lakini hapo wanapima huo mchanga kwa toroli. Ila wangeweza kupima chepe ngapi zinaingia kwenye toroli, kazi ikawa rahisi zaidi.