The meaning of ridiculous

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Maana ya hilo neno kwa kiswahili tafadhali...nimetafuta kwaenye english to English dictionary nikashindwa kupata maana ya moja kwa moja kwa lugha ya kiswahili
 
Maana ya hilo neno kwa kiswahili tafadhali...nimetafuta kwaenye english to English dictionary nikashindwa kupata maana ya moja kwa moja kwa lugha ya kiswahili

Una maana gani kusena "maana ya moja kwa moja" wkati neno la english halina maana moja kma unavyotaka ww ila hutgemea mahala lilipo tumika.
 
Maana ya hilo neno kwa kiswahili tafadhali...nimetafuta kwaenye english to English dictionary nikashindwa kupata maana ya moja kwa moja kwa lugha ya kiswahili
Pole,then tafuta English to Swahili dictionary itakusaidia.
 
navyojua mimi ni 'kichekesho' cha dhihaka lakini mkuu,mfano:you are so ridiculous, unachekesha mno, lakini kuchekesha kwa dhihaka mkuu, ni hivyo tu, kama kuna mtaalamu wa lugha aje aendelee kufafanua
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…