Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,326
- 21,520
Mim sitashangaa uefa kutolewa mapema ..Kwa stail hii uefa tutaisikilizia
Tunamfumo mbaya Wa kiuchezaji ,hovyo kabisa ...!
Knock out stage tunacheza hivyo unafikili itakuaje ....
Mim sitashangaa uefa kutolewa mapema ..Kwa stail hii uefa tutaisikilizia
Kama pep asiporud vizur EPL inatutoka ,tuko kipind kibaya Sana ,timu ndogo zinajinasua huko chin ,zitaanza kucheza kwa high energy consecutively.
Mkuu umeona eeh ....Gundogan hachez krb na goli tena.
Muda wote krb na rodri kwa sababu kdb kapoteza mpira tena. Kila saa
Mpaka dakika 30 amepoteza Mipira 17*
Inabidi apumzishwe kdg.
Hajawahi kuifunga Manchester United. Tena kipindi hiki akikutana na AWB ndio huwa anawekwa mfukoni kama helaMechi ya 19 sterling kashindwa kufungwa united
Kawaida United inapocheza na timu inayofunguka utakupiga tu. Refer Leeds United wanacheza open football walivyokutana na United walikula 6. Hata leo umakini ungeongezeka watu wangekula hata 4Hii game tumefingwa kihalali kabisa ..
Pep mbinu zake za possession united wamezibana mapema ,...
inabid pep aanze kubadilika sasa ,system ya tiktak hadi ndani ya box sio nzur kwa sold defence haileti matunda tena ...
Sterling ,wanapoteza mipira sana ndani ya box ,simulaumu ni mbinu za kocha ,...
City tunashambulia bila madhara kabisa ,ujinga mtupu ,united wakija golin kwetu wanakuta empty space kabisa ,movement za hatari unaziona ..
Luka shaw anakimbia tok a katikat ya uwanja ,Rodrigo ,dias ,zincheko wanamsindikiza ,anampasia rashford ,rashford anamrudishia wanafunga ,ujinga mtupu .....
Uefa itamshinda hapo gardiola ...Kawaida United inapocheza na timu inayofunguka utakupiga tu. Refer Leeds United wanacheza open football walivyokutana na United walikula 6. Hata leo umakini ungeongezeka watu wangekula hata 4
Hamna timu ya kucheza UEFA nyie bado ni underdog sana.Kwa stail hii uefa tutaisikilizia