Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,068





Haaland utamaliza mipira ya watu acha hizo walegezee japo kidogo.



Hawa ilitakuwa historian ijiandike mpaka kwenye vitabu vya mababu kudadekiii nimekasirika sanaaa ......!!

pumbavu sanaaaKiufupi pep kaamua kuwaonea huruma unamtoaje kdb ,gundo ,foden ,ake at once wakati walikuwa solid kabisa ...Hawa nyumbu ilitakuwa wafe kifo Cha mbwa mwizi ....Hii tabia ya kuruhusuruhusu magoli inanikera sana....ilitakiwa wakijitahidi wapate kamoja aaaah... Tungewaweka hata 9 mbwa hao daadeki zao