OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Nyie bado ni timu ya kitoto sana kwanza hamuna uefa ..mupo mupo tu
hii ni nafasi Bernado ,kdb kuwafunga united ....Kucheza game Kama hii bila kuwa na DM ni hatari mkuu ,hapa kina eriksen na MC watatu outsmart mapema sana ....mbio za rashford ni za kuaangalia sana ...Hii injury ya rodri imekua surprise asee
Mnyama foden anamaliza kazi...ndo mambo yake hayaLeo haaland akifunga atakuwa mwanaume maana Yale maneno yake ,timu nzima Leo inaenda kumkamia mpaka kuchahii ni nafasi Bernado ,kdb kuwafunga united ....
Fimbo NNE swaafi mnakalia leo
Huyu dogo Jezi ya mchezaji alizoivaa na akili zake ni Sawa Sawa.
Siyo nne, sitaFim
Fimbo NNE swaafi mnakalia leo










