Ah! Pep aondoke hii ligi na sisi wengine tufurahie uwepo wa timu zetu.




na ndo anasema bado ana kiu na makombe sasa yaani ndio kumekucha kwake.



Ah! Pep aondoke hii ligi na sisi wengine tufurahie uwepo wa timu zetu.







is a Legendary playerWe kirusi tupisheeHalaand hat trick hakuna wa kutuzuia mpka ubingwa the blues
Mpka waseme Ferguson alikuwa ananunua marefa epl viva man city


Na wana UEFAAisee tunacheza bonge la mpira sion hao Nottingham forest wanatokea wapi kupata hata goli moja![]()