bright pledge 255
Senior Member
- Aug 15, 2022
- 140
- 172
aiseee huyu mwamba haaalandi ni balaa nafasi zote alizokuwa anakosa raheem kufunga anazifunga huyu mwamba
yule mwamba hajawahi kufeliIla Bernardo Silva fundi ..yani hakuna haja kabisa ya kumuuza
Benardo Silva yule ni talented ni Kama kina mess ,unaambiwa katika watu wavivu kufanya mazoezi gym ni benardo,ndio maana Hana mwili wa misuli iliyotuna lakini mpe mpira uone mziki wake ,anapumzi hatariii,grealish ndio ana rate kubwa ya kushinda gym sanaIla Bernardo Silva fundi ..yani hakuna haja kabisa ya kumuuza
...Huyu jamaa hatakiwi. Kuondoka kabisaBenardo Silva yule ni talented ni Kama kina mess ,unaambiwa katika watu wavivu kufanya mazoezi gym ni benardo,ndio maana Hana mwili wa misuli iliyotuna lakini mpe mpira uone mziki wake ,anapumzi hatariii,grealish ndio ana rate kubwa ya kushinda gym sana...
Benardo Silva ...
Mahrez ..
Zincheko..
Hawa vipaji ndio vinaongea hasa kwa upande wa control za mpira ...
Bernado anamapafu ya mbwa yule ,ule mguu wa kushoto ni Kama una gundi Yani mpira ukiwa pale unanata kabisa yeye kazi yake ni kukatiza tu katikati ya defender mpira uko mguuni ,ukienda vibaya defender basi unasababisha penalty..
Unaweza fikikia hana nguvu ila sogea uone ...
Benardo Silva yule ni talented ni Kama kina mess ,unaambiwa katika watu wavivu kufanya mazoezi gym ni benardo,ndio maana Hana mwili wa misuli iliyotuna lakini mpe mpira uone mziki wake ,anapumzi hatariii,grealish ndio ana rate kubwa ya kushinda gym sana...
Benardo Silva ...
Mahrez ..
Zincheko..
Hawa vipaji ndio vinaongea hasa kwa upande wa control za mpira ...
Bernado anamapafu ya mbwa yule ,ule mguu wa kushoto ni Kama una gundi Yani mpira ukiwa pale unanata kabisa yeye kazi yake ni kukatiza tu katikati ya defender mpira uko mguuni ,ukienda vibaya defender basi unasababisha penalty..
Unaweza fikikia hana nguvu ila sogea uone ...

kwamba Benardo anagundi mguuni? Dah! Mashabiki wa city bhana.Movement zake na ball unazionakwamba Benardo anagundi mguuni? Dah! Mashabiki wa city bhana.

...yule ni mtu na nusuHuyu dogo inabidi mechi kama za carabao acheze ili azidi kujenga confidence

Acha aendelee kujipigia mijitu.kdb Sasa katimiza miaka Saba toka kusajiliwa kutoka wolfburg ....Manuel Pellegrin aliona mbali sana ....View attachment 2340182

nyie laana fc mna kopo za nyumbu tu

Arsenal mnazo ngapiNottingham forest wanakula karanga mbichi
NB:NOTTINGHAM FOREST TUNA UEFA 2nyie laana fc mna kopo za nyumbu tu
![]()
Tutazion hizo uefa 2 Kama zitawasaidia kufunga magoliNottingham forest wanakula karanga mbichi
NB:NOTTINGHAM FOREST TUNA UEFA 2nyie laana fc mna kopo za nyumbu tu
![]()