The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.game ya Leo Haina haha ya kukamia na kuumuza wachezaji wetu ,Kama inawezekana wacheze kina Palmer,Phillips ,Alvarez ......ili jumamosi tukabiliane na crystal palace vzuri ...

Cha mhimu ni kugenerate hio funds ,wawape wahitaji tuendeleee na epl mapema ...
mancity_mcfc-20220824-0001.jpg
 
Any way wacha niaangalia hii man city b Vs Barcelona...si charity game hata tukifungwa Haina shida
 
Mmmh siku hizi walker sio mzur kabisa kwenye kudefence ...

Palmer bado sana ...

Pale kati pamepwaya sana ...

Lewis huyo dogo anajituma anapambana kiufupi ...

Alvarez apewe muda yupo sharp ..

Gomez aisee hajatulua kabisa ,Sasa upande wake analazimisha kupiga pass Hadi sehemu yenye ukuta

HT 1-1
mancity-20220824-0003.jpg
 
Ngoja tuone second half mabadiliko yataleta mwonekano upi kwa team nzima kwa ujumla.
 
Mmmh siku hizi walker sio mzur kabisa kwenye kudefence ...

Palmer bado sana ...

Pale kati pamepwaya sana ...

Lewis huyo dogo anajituma anapambana kiufupi ...

Alvarez apewe muda yupo sharp ..

Gomez aisee hajatulua kabisa ,Sasa upande wake analazimisha kupiga pass Hadi sehemu yenye ukuta

HT 1-1 View attachment 2333909
Pia namuona S.Ortega akiwa vizuri tu.
 
Dakika za mwisho baada ya Kila kocha kuweka vyuma ndio mpira ulikuwa wa moto ...
 
Carabao draw...

Man city Vs Chelsea

Hii draw ya carabao ni ujinga kabisa ,inakuaje tunakutana mapema hivi ...

Tunakutana na sterling Sasa ........
 
Back
Top Bottom