Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
.
Umeona Chelsea walivotunguliwa Kama wamesimamamna bahati sana nitaendeleea kuepnda Epl siku zote ligi kama ligi ya kibabe



hii league achana nayo kabisa ....Daaa tatizo foden na kdb kuna muda walikuwa wanalazimisha mashoot kwenye angle ngumu badala ya kumpasia haaaland yupo kwenye position ....Massive comeback asee.




hapa moto wa ZAHA nauwaza sanaaa ....!!Nan saint Maxima....auyule mwamba wa newcastle tukimsajili atafanya mabo makubwa mbwa yule
yule fala aliyekuwa anamhemesha walker,Nan saint Maxima....au
Ndio huyo huyo saint Maxima ,anarasta flani ....yule fala aliyekuwa anamhemesha walker,
wanatisha sana hao jamaa, yaani walker kakaba lakini wapi li mjemba lina mpira tu utazani limeahidiwa mkeNdio huyo huyo saint Maxima ,anarasta flani ....
Baada ya waarabu kuinunua Newcastle nadhani yeye ndio alipewa kipaombele Cha kubaki ,wengine nilikuwa naona wanauzwa ,...
Newcastle wanakuja vzuri,wameshapata wawekazaji wanaomwaga mpunga ,miaka miwili ijayo anaweza kuwa title contenders kabisa ...
Mkuu haaaland hajawahi kuonesha uvivu pale mbele ,foden ndio alikuwa anashindwa kuelewa kuwa pale kati ipo scoring machine sio sterling so ilitakuwa awe anapiga mipira .....!
Ushindwe kumpiga dakika 90 ndio uje kumpiga dakika 10Kwanza hao Newcastle wanabahati sana ,zingeongezwa dakika 10 tulikuwa tunampiga ...,!!!
Nunez vp
Watu wanamtukana huko kwenye page yakeHuwa najiuliza kwanini foden hataki kutambua uwepo wa haaland? Dogo ni fala sana


matusi yote wamemwangushia ...jana kafanya ujinga mwingi sana na pep hajamtoa daaa....!Halland si kapata clear chance kakosa pia mwenyewe tu na kipa.Huwa najiuliza kwanini foden hataki kutambua uwepo wa haaland? Dogo ni fala sana