Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
.
Huyu mwamba hapaswi kuondoka bora aongezewe mpunga
Injury!! Moja ya sababu za kufanya mchezaji kuflop huwa ni injurykuna hati hati Halaand kukosa mechi kadhaa za mwanzoni injury

Sasa kapata lini injury ,jana hakuwepo training alikuwa anasign deal na adidas .....kuna hati hati Halaand kukosa mechi kadhaa za mwanzoni injury
Sisi uefa level zetu ni kufika final au sem final ...Hii timu ndyo ikacheze uefa mtapigwa mpka mtachakaa nyumbu watoto laana fc
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
We don't care ..

Pumu mamaeee hii timu ina laanaZa ndani kabisa ...
Halaand hajatokea mazoezi siku ya pili Sasa ,sababu anamkataba na adidas na hawezi vaa jezi za puma ....
Pumu ndio anamkataba na city...halaand lazima amvae puma ...
Kuna hatua zinachukuliwa kumaliza hizi tofauti ,halaand kumalizana na adidas kabla hajaanza kuvaa puma ...






Sawa kabwili fcUnasemaje kibwengo ,chogo Kama madenge![]()




