Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 722
- 768
Nani alikwambia?Uzi una shabiki wawili tu![]()
Nani alikwambia?Uzi una shabiki wawili tu![]()
Wakati league unataka kutamatamatika Leeds walikuwa hoi kwani moja kati ya wachezaji wao kalvin Phillips alikuwa ana injury lakin haimanishi ni mzee wa kitandaniHuyu Kalvin Philips si injury prone huyu?

Kalvin Phillips: "To be able to play under Pep Guardiola, learn from him and his coaching staff as well as be part of fantastic squad is a prospect that I am incredibly excited about." 

OFFICIAL: Manchester City sign Kalvin Phillips on a six-year deal. He will wear the No. 4 shirt.
For realFour player , £108millionView attachment 2281076
Uzi wa mtu mmoja anayeuliza swali na kujijibu hapo hapo![]()

Dah pain killer anatiaga huruma tu huku yani mpaka apite kwenye uzi wa man united ajichekeshe.

Mpaka ajichekeshe kama dada muuzaji.Dah pain killer anatiaga huruma tu huku yani mpaka apite kwenye uzi wa man united ajichekeshe.
![]()
Mnahangaika wee ila mwisho wa siku mnajipitisha humu kwa mabingwa kujua taarifa zetu ...Dah pain killer anatiaga huruma tu huku yani mpaka apite kwenye uzi wa man united ajichekeshe.
![]()

Maswala ya kupita humu kwa mabingwa wa epl umepanua utakuja kupanuliwa ...!Mpaka ajichekeshe kama dada muuzaji.