baraka bb
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 2,690
- 3,901
We ropoka tu mbele ya Mabingwa wa Ulaya ilihali hauna hata kakombe ka UEFA ka1![]()
kwani kombe la uefa limefutwa si bado lipo so one day yes

We ropoka tu mbele ya Mabingwa wa Ulaya ilihali hauna hata kakombe ka UEFA ka1![]()

Huna lingiñe la kupost ...Champions of Europe View attachment 1952606






Hii record tumeshavunja ,city unbeaten for 18 games
Na bado man utd tunasubiria bahati...
umepakatwa umekaa kimya
























kama uongeag vile











Wewe kunguni mshapigwa viwili huko.... Jitokeze haraka sana





Leo umepewa cap bila ubishi, kweli hili litimu ni utopolo uliochangamkaUkiona mwanao anakuletea matokeo ya mitihani ya mihula ya nyuma na kuficha ya wakati uliopo, huyo toto jinga chalaza bakola za kutosha ili akawasimulie na wenzake.
