The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Dias ,kamficha lukaku
mancityzenscom-20210925-0001.jpg
 
Tushajipigia Sana nyinyi Kwa hiyo nyie ndo vilaza kwetu zaidi
Kwa wanaoangalia mpira tu ndio watajua kuwa ,mmekuwa mkitufunga kwa bahati tu ....


Na mnampira wa kizaman Sana,wa kupaki Basi na kusubili like pipa lenu kufunga kudadekiii



Pep kawapelekea Moto ,...


This is our city
 
Leo pep kawapelekea Moto mnaanza kujifaliri na yaliyopita ,,,...


Mimi nasemaga siku zote ,hawa underdog Chelsea hawana uwezo wa kuifunga city ,mnabahatisha tu ....
Bado huna cha kunitisha.... we wa kawaida tu... ndo maana totte alijipigia.
 
Endelea kuteseka, we mwenyewe ulitakiwa ubadilike dhidi ya Tottenham na Southampton
Sis tulitaka kuwaonesha kuwa ,nyie ni vibonde tu ,...

Muache kucheza ma mipira ya kizamani ,ya kuviziana ...


We press ,and win the game while fuvckin Chelsea parking bus
 
Back
Top Bottom