Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,177
- 21,315
Aisee tunacheja mpira kama vile ,computer inavocheza game ..!
Tunatawala dimba ,accurate pass ,possession ,nadhan kinachohitajika ni self control ..!
Yaan mchezeji awe na uwezo wa kucontrol mpira hata akipasiwa katikati ya watu watatu ,
Bernardo Silva
Gundo
Rodrigo
Dias
Mahrez
Hawapotezi mpira kizembe hata upige pass katikat ya adui ,wanapiga hata back pass