The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kdb hayupo form ....

Walker anatumia nguvu nyingi ,anabutua tu daaa ....

Walker atoke aingie cancelo ..

Tukifungwa hii game basis EPL itakuwa inatuponyoka ....

HT 1-1
 
Kdb hayupo form ....

Walker anatumia nguvu nyingi ,anabutua tu daaa ....

Walker atoke aingie cancelo ..

Tukifungwa hii game basis EPL itakuwa inatuponyoka ....

HT 1-1

Epl yetu mkuu, westham hawajawahi kuwa katk hii form since 1983 huko, so kwa leo jamaa wapo vizuri.. but hopefully tutashinda chief
 
.
mancity_mcfc-20210227-0002.jpg
 
Man City are unbeaten in their last 27 games in all competitions (W24 D3), the second longest such run in their history (28 games, Apr-Dec 2017). They have now also extended the longest ever winning run by a top-flight side in all comps to 20 matches. Astounding. [OptaJoe]
.
Our next 4 games:
Wolverhampton
Manchester United
Southampton
Fulham
#MCFC
mancity-20210227-0011.jpg
 
Kdb hayupo form ....

Walker anatumia nguvu nyingi ,anabutua tu daaa ....

Walker atoke aingie cancelo ..

Tukifungwa hii game basis EPL itakuwa inatuponyoka ....

HT 1-1
Hauna imani kabisa aisee!
Kama mashabiki wa Chelsea wanaamini watachukua ubingwa, wewe unashindwaje kuamini utachukua ubingwa?
Man City ametoka kwenye mawiki ya fixture ngumu sana, kipi kinakufanya uamini kuwa kama Man City angeshindwa kupata ushindi dhidi ya West Ham basi ubingwa wa EPL ungemponyoka?
 
Wengine wanafikiri kila siku unashinda mechi kwa performance nzuri kila siku
 
Back
Top Bottom