Pigeni hata goli 10 hao watford mtusaidie kuonesha dunia kuwa UNAI ni muhuni sio kocha
Hahahahahahahahah Unaweweseka sana.Wa kulaumiwa ni Norwich
nashukuru sana kwa kukuona humu kwenye team ya wanao jitambuaWa kulaumiwa ni Norwich
Unatumikiaje mabwana wawili kwa wakati mmoja,Chagua mmoja anayekufaa.Kishabiki ni citizen
Moyo upo kule united
Hahahahahahahahah Unaweweseka sana.
Unatumikiaje mabwana wawili kwa wakati mmoja,Chagua mmoja anayekufaa.
Nateseka sana
😂😂😂 bwana angu ni mmoja tu,huyu citizen ni shemeji yangu
Unajua kuwa bwana ako na shemeji ni maadui?
Leo ni siku mbaya sana kwako,hakuna namna.Hahahah najua
Leo ni siku mbaya sana kwako,hakuna namna.
Sawa sawa jirani 😁Ile Norwich ni B, maana first team ya Norwich ina majeruhi 6