Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,377
- 96,689
Bahati mbaya kwangu waweza kuta na hapa Bongo unaipenda Yanga...Hii match inaisha draw ama city anashinda
Mungu ibariki city!!
Mimi baada ya mama, baba na mabinti zangu...
1. Simba
2. Liverpool
3. Barcelona
4. Bunju Veterans
5. Michepuko
6. Bibi yenu
7. K Vant
8. Kitimoto
9. Kitanda