goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,880
- 5,752
Watamuita tu.Kipaji kimeishia pale
Laporte ndio CB pale City cha ajabu nashangaa anakosaje namba National team ya France wakati ni mzungu natural kabisa wa Kifaransa
Walikuwa wanawategemea wakina umtiti na kimpembe.
