goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,880
- 5,752
Aya majogoo naona wamewekewa line up ya kufa mtu.
Pale mbele hazard kasimama kama tisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale mbele hazard kasimama kama tisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua bado hayupo fit %
ImekuwaPalace has a record of conceding less than a goal at their stadium this season.
BUT KESHO TUNAENDA KUIPUNGUZA HIO RECORD YAO
Sent using Jamii Forums mobile app


Hayupo kwenye form nzuri.Hivi Aguero hajui kua kiatu anatakiwa kukichukua yeye?
Dogo ana vitu hadimu ila huwa mapepe kishenzi
Tatizo lake huwa anapenda magoli ya visiginoDogo ana vitu hadimu ila huwa mapepe kishenzi
Jukumu letu sasa kuwashangilia Chelsea. adui mwombee njaa
ni kweliKDB ni mtu, kwenye game ya Spurs alibadiri Mpira ndani ya dk tatu tuHayupo kwenye form nzuri.
Nashindwa kuelewa kabisa.
Dogo kaingia ndani ya dakika mbili kapata goli.
De bruyne leo ana assist zake 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Jukumu letu sasa kuwashangilia Chelsea. adui mwombee njaa

hatareee xana mkuuu hapa npo kwenye maomb Chelsea ashindeHakuna ingine zaidi ya hii karibuAtleast naweza kushabikia timu hii.



Karibu sanaAtleast naweza kushabikia timu hii.
Shukrani wapendwa.Karibu sana
Yeah kumbe na ww uliona iko kitu.KDB ni mtu, kwenye game ya Spurs alibadiri Mpira ndani ya dk tatu tu
Mkuu unakaribishwa sana ushindinihatareee xana mkuuu hapa npo kwenye maomb Chelsea ashinde