interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
Dembe B.Ewaaah ndio hii
Brother tuna ratiba ngumu sana.
Tukiipangua yote tutauonyesha ulimwengu kwamba sisi ni noma.
Ila tupo pamoja kwenye quadruple![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
UEFA kwenyewe mmeshapangua kwa figisu za kupangiwa na Tottenham, mtashindwaje EPL ss
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu draw ndo imetupa spurs.Game one ndio inanipa imani kua kesho tunashinda maana sitaki kuamini eti watupige nje ndaniUkumbuke game 1 waliwafunga.
Na mwaka jana mlidroo, tena walikosa penati late minutes.
Jamaa hawawaogopi kabisa.
Unajua ukisema uangalie vikosi .
Hakuna kitu kama hicho, tena marudiano mtampiga hata wiki na kupita kiulaiiiini maana hata swala la Kenny kuumia mechi ya awali ilitokana na mbinu mlizojiandaa nazo ili asije kuwasumbua mechi ya marudiano
Iko kitu hakiwezekanGame one ndio inanipa imani kua kesho tunashinda maana sitaki kuamini eti watupige nje ndani
Umeanza kukiri udhaifu na wewe spurs walaini kama vya tumboni mwenyewe hiyo tarehe 17 utashangaa
Sasa mkuu spurs imeshinda mechi nyingi walipocheza bila kane. Kuliko walipocheza akiwemoHakuna kitu kama hicho, tena marudiano mtampiga hata wiki na kupita kiulaiiiini maana hata swala la Kenny kuumia mechi ya awali ilitokana na mbinu mlizojiandaa nazo ili asije kuwasumbua mechi ya marudiano
Sent using Jamii Forums mobile app
Spurs sio wabaya.Umeanza kukiri udhaifu na wewe spurs walaini kama vya tumboni mwenyewe hiyo tarehe 17 utashangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuombe tu uzima utaniletea mrejesho jinsi mtavyopita kiulaiiini mechi ya marudiano na Tottenham tukiwa wazima J5Sasa mkuu spurs imeshinda mechi nyingi walipocheza bila kane. Kuliko walipocheza akiwemo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu shaka ondoa huwa nawapamoyo wasiotupenda.Umeanza kukiri udhaifu na wewe spurs walaini kama vya tumboni mwenyewe hiyo tarehe 17 utashangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua city ni timu ambayo anyone can score.Tuombe tu uzima utaniletea mrejesho jinsi mtavyopita kiulaiiini mechi ya marudiano na Tottenham tukiwa wazima J5
Sent using Jamii Forums mobile app