AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,040
Kweli mkuu. Mpira hautabiriki. Pale huwezi laumu mchezaji wala kocha wa city maana walicheza vizuri tena kwa kiwango. Ila ndo hivyo tena mpira unadunda.
Big up chelsea. Ila Man United watashangaa sana kupata mashabiki wa Mancity siku wanacheza na liverpool. Msituangushe Man U. Tunaomba mturudishe hapo juu.
Hata sisi tulisema hayo kwa chelsea.Man U anaenda kupigwa 2-0 tena kwa clean shit
Hawakosekani dizaini ya Watu kama hawa hata kama ni jana tu alitabiri matokeo flani afu yakawa tofauti na jinsi alivyotabiri lakini atashupaza tu shingo kujifanya kuwa naye ni Nabii.Hata sisi tulisema hayo kwa chelsea.
Ipo hivyo ila nafasi yake atachafua GuendoganJamani Fernandinho ni majeruhi?
Hahaa kama ni hivyo kazi mnayo
Ipo hivyo ila nafasi yake atachafua Guendogan
Ngoja nifatilie nione Kama kweli jamaa ni majeruhiGundo hawezi hiyo nafasi, mwenye uwezo ni dogo Zinchenko na nae uzoefu ni shida mkisema awekwe Delph yule Delph uwezo mdogo according to me.
.Gundo anamudu nafasi ya Silva ya namba 8 ambayo kukaba sio sana ila kuchezesha washambuliaji ndio haswa kazi kubwa, Ngoja tuone lakini Pep anadili vipi na hili suala
Jukwaa limeanza miaka ya 2009 way back huko, ww utakuwa ulikuw hujazaliwa bado ndo maana u nabweka tu fyuuuu.....Tz hakuna shabiki wa Man City
Mtuambie hili genge lenu lilitoka wap?
Ww ulitaka tushabikie nn??? Usitupangie bn huu ni utashi wetuTz hakuna shabiki wa Man City
Mtuambie hili genge lenu lilitoka wap?
Anaeongea haya ujue yupo chini yako. Aliye juu kwa sasa ni liverpool na liverpool fans hawawezi ongea hayo ya ooo hii timu inamashabiki ooo mara blablabla. Kelele ni watu wa chini. Halafu nasikia fununu kuwa man u hawataki kumfunga liverpool jpili kwakuwa akifanya hivyo man city anachafua hali ya hewa hapo jijini manchester. Jiji la Manchester linakuwa blue na sio red.Ww ulitaka tushabikie nn??? Usitupangie bn huu ni utashi wetu
Ila wandugu huyu jamaa wetu Rahim tupo vizuri sana. Akiwa na mpira basi ujue chochote kinatokea. Wakiwa na sane au kun. Aaah game inakuwa burrrrrdan
Hawana hela za kuchukuwa mchezaji wetu.Kuna mchezaji wa City inahitajika na Barca, taarifa niliisikia redioni nahisi jina ndo hili la Rahim kama nakumbuka vizuri.
Hawana hela za kuchukuwa mchezaji wetu.