tutaongoza nakuongoza maana chelsea akishindwa kumfunga liverpool tutamfunga wenyewe mechi ijayonaona leo wananchi mnaongoza ligi
Kabisatutaongoza nakuongoza maana chelsea akishindwa kumfunga liverpool tutamfunga wenyewe mechi ijayo
Hatimae tumekalia kitu chetu
Kivipi mkuu?Temporarily...
Tutashushwa na nani mkuu?Leo mmekalia usukani sio
Hongereni ila mtashuka tu hapo
Subiri utawaona watakaokushushaTutashushwa na nani mkuu?
Tutasubiri sana mkuuSubiri utawaona watakaokushusha
Wanaojazana huku wakiishabikia City huwa wapo kwa mkopo tuuHuu mtaa leo hamchezi uefa kweli? Mbona kuko kimya mpaka muda huu?
Tupo mkuu, tupo pamojaNdugu zangu muko wapi mbona siwaoni?
Siunajua tukikutananao wanavyokaza matako utadhani wameambiwa wakitufunga sisi ndio wanakua mabingwawana wa man city kesh tunapiga liver ndo wamesha polomoka kwa chersea na napoli si tuna malizia ubingwa wetu
Huyo Aguero kama Mess