Nitakunyoosha hutaamini Usilete visingingizio tuSalute ila trh29 unaugeni mkubwa pale stanford jiandae
YNWA
Mku cna kisingzioNitakunyoosha hutaamini Usilete visingingizio tu
Mkuu vipi umechoka kabisa na kipigo cha janaDaah!
Hakika mkuu chama limezingua sanaaaaMkuu vipi umechoka kabisa na kipigo cha jana
Hahah mkuu don bhana..... Wenyeji tupoHumu tunampa pole nani?
Maana naona kuko bila wenyeji.
Tupo mkuuNyumba ina msiba lakini wafiwa hawaonekani
Hahah mkuu don bhana..... Wenyeji tupo
Shukrani sana mkuuPoleni, lakini nina uhakika mtavuka group.
Kati ya vipigo hivyo vinne. Liverpool inahusika na viwili View attachment 872406
Shukrani sana mkuu, leo afadhari bhana...Hongereni wakuu naona leo mmeshusha kisago cha 5