CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,729
- 1,129
DOGO acha mihemko, Rodri alikuja kama upgrade ya Fernandinho na sio replacement. Wakati Silva KDB tayari alikuwa kwenye Top of his game.
Kijana hujajua kuwa Upgrade bado ni replacement, mkuu tofauti ni kwamba replacement yetu imekuwa upgrade.
Alafu acha kubadilisha maana ya maneno. Ukisema Rodri alikuwa upgrade ya Fernandinho, basi unathibitisha hoja yangu, alikuwa successor wa Fernandinho, akaja akawa bora zaidi. Hiyo ndio maana ya replacement nzuri sio lazima awe copy ya aliyemtangulia.
Kuhusu KDB, City Walikuwa na mchezaji aliyekuwa tayari anainuka, halafu role yake ikabadilika na kupanuka baada ya Silva kuondoka.
Point ni kwamba City imewahi kupoteza legends, ikapata succession ambayo haikuwa copy paste, na timu ikaendelea kuwa bora.
Bora kuliko timu yako? Kama ndiyo unachotaka kujua, ndiyo na kama unapingana, leta timu yako mezani tuzipime.
Usianze kuchambua ‘anguko’ la City wakati timu yako yenyewe haijafika level yangu. Kila mtu apambane kwenye jukwaa lake.
Liverpool na Man UTD washawahi kubeba ×4 au mtasema enzi hizo Ligi ilkuwa haitwii premier league, walkuwa wanacheza zama za mawe gizani.Tangu mwaka 2010 hadi sasa, Manchester City imekusanya mafanikio makubwa
8× Premier League
1× UEFA Champions League
3× FA Cup
6× League Cup
1× FIFA Club World Cup
1× UEFA Super Cup
Na rekodi ambayo hakuna timu nyingine ya England imewahi kufanya
Manchester City ndiyo timu pekee England iliyowahi kushinda Premier League mara 4 mfululizo.
Haya siyo maneno ya ushabiki haya ni mafanikio yanayoonekana kwenye historia na kwenye makabati ya klabu.
Manchester City FC
Liverpool ndio waliowahi kushinda First Division mara 4 mfululizo (1981/82–1983/84). Sio Man U.Liverpool na Man UTD washawahi kubeba ×4 au mtasema enzi hizo Ligi ilkuwa haitwii premier league, walkuwa wanacheza zama za mawe gizani.
Plastic fans hahahahaha, Pep ameondoka, City bado anashinda. Kama huu ndio uzalendo wenu, basi endeleeni kujifariji na historia. Sisi tumeacha historia nyuma na tunaendelea kutoa vichapo tu.Plastic fans wamerudi kwenye timu zao baada ya Pep kuondoka.
Nov–Dec? Mmmmh Sawa, tutawafukuzia Arsenal. Ila wewe kwanza tuambie unaishabikia timu gani, maana unaongea kama shabiki wa Arsenal, United na Chelsea kwa zamu. Kama huna timu ya kusimamia, kaa pembeni uangalie City wakikimbiza Arsenal huku wewe ukibadilisha jezi kila wiki.Mnasubiri Nov-Dec mpate fans wapya muifukuzie Arsenal