The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kuwa na midfielders umri umesogea ni disadvantage kubwa tu.
Hawa PSG sisi walitufunga nne sababu mido yetu ilipwaya kipindi cha pili tulikua na kina kova, gundogan, ambao wote wapo 30's walishindwa kuendana na kasi ya kina Neves, ruiz......
Unless ucheze na timu inayopaki basi, kuwa na mido ya watu waliokula chumvi ni changamoto unapokutana na timu inayocheza mpira wa kasi.
 
KDB siku ya leo anaenda kufanya vipimo kabla ya kusaini mkataba wa miaka 3 na Napoli.
 
Hizi timu za Italy ndio maana zinaaibishwa hata kama ni ubora kdb ni wa kumpa miaka mi3
Wao walitaka kumpa mkataba wa miaka miwili na option ya kuongeza mwaka mmoja, KDB akataka mitatu, jamaa wakabend.
 
Tunaenda kuwasajili Reijnders na Cherki kwa hela isiyozidi £100m.

Muda huo Leverkusen walikua wanataka £126m kwa wirtz.
 
Tume initiate contact na Wolves kwaajili ya Rayan Ait-Nouri.

Hili dili linatarajiwa ku advance haraka.
 
Rayan Ait-Nouri has already said yes to Man city.

Talks with wolves expected to pick up pace now.


[Fabrizio Romano]
 
Rayan Ait-Nouri has already said yes to Man city.

Talks with wolves expected to pick up pace now.


[Fabrizio Romano]
Mara ya mwisho timu kusajili fullback wa kueleweka ilikua 2019, miaka 6 ilopita (Cancelo).
Wakomae watuletee fullbacks hizi mambo za kutumia ma CB tumechoka.
 
Mara ya mwisho timu kusajili fullback wa kueleweka ilikua 2019, miaka 6 ilopita (Cancelo).
Wakomae watuletee fullbacks hizi mambo za kutumia ma CB tumechoka.
Mwaka 2022 tulimnunua Sergio Gomez ambaye ni left back, japo hakuonyesha kiwango cha kuridhisha.
 
Cherki + Reijnders+ Ait-Nouri tunaweza kuwapata kwa £130m.

Hii hela yote ingeishia kwa Wirtz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…