The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ukiangalia aina ya sajili tunazotaka kufanya, unaona kuna tactical shift inaendelea.

Inaonekana kutakua na ongezeko la physicality na directness kwenye mchezo wa city ya msimu ujao.
 
Naona wangemchukua Hakan Cahlanoglou yupo vizuri, ila ngoja tuone kama mrithi wa KDB atapatikana.
Calhanoglou ana miaka 31, timu ipo kwenye rebuild usitegemee ikaleta mchezaji mwenye 30+
 
On this day, back in 2011, we won our first trophy in 35 years, thanks to Yaya Toure's winning goal.
 
Ukiangalia aina ya sajili tunazotaka kufanya, unaona kuna tactical shift inaendelea.

Inaonekana kutakua na ongezeko la physicality na directness kwenye mchezo wa city ya msimu ujao.
Sema physicality ya wirtz ni ndogo, ila kama yamal anacheza na ana paja kama zuchu atacheza tu😅
 
Tuko kwenye majadiliano na como kwa ajili ya kuwauzia Maximo Perrone.

Price tuloweka ni €30m.
 
A month to go
IMG-20250514-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom