The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ripoti zinasema Florian Wirtz na baba yake Hans Wirtz walikuwa England leo kwa ajili ya mazungumzo na city (Pep).

Wamerejea Ujerumani jioni ya leo.
 
Hans wirtz in England.
IMG-20250513-WA0045.jpg
 
Man city have submitted a concrete offer to Bayer Leverkusen for Florian Wirtz according to sportBILD.
 
Ripoti zinasema Florian Wirtz na baba yake Hans Wirtz walikuwa England leo kwa ajili ya mazungumzo na city (Pep).

Wamerejea Ujerumani jioni ya leo.
Lever hawaraki wirtz aende bayern, Wanapush aje huku au abaki hapo hapo
 
Mechi 2 tu. Hakuna uhakika hapo kwa yeyote yule maana points zimekaribiana sana.
 
Man city and Bayer Leverkusen have verbal agreement in place for the framework of Wirtz deal.

Man city understand that Bayer Leverkusen will rather sell Wirtz to City than Bayern Munich.

Via Sky sports football.
 
Hugo Viana ameanza kwa fujo sana, yupo agressive sana sokoni kuliko Txiki.
Wacha tuone kama atatuletea Wirtz.
IMG-20250513-WA0047.jpg
 
Kweli hakuna sheria isiyokuwa na loopholes 😂

Yani kesi yetu ya 115 charges zimetafutwa loop holes mpaka sasa kaingizwa na arsenal na vilabu vingine vitafata pia kwa mwendo huu.
 
Kweli huu msimu tumesota na injuries, yani ilifikia kipindi nyuma anaanza Jahmai Simpson-Pusey 😂
 
Tupo kwenye mazungumzo na AC milan kwa ajili ya Tijjani Reijnders, bonge moja la box to box midfielder.

Mazumgumzo yapo hatua ya awali ambapo yataendelea baada ya fainali ya Copa Italia.
 
Tupo kwenye mazungumzo na AC milan kwa ajili ya Tijjani Reijnders, bonge moja la box to box midfielder.

Mazumgumzo yapo hatua ya awali ambapo yataendelea baada ya fainali ya Copa Italia.
Naona wangemchukua Hakan Cahlanoglou yupo vizuri, ila ngoja tuone kama mrithi wa KDB atapatikana.
 
Back
Top Bottom