The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

First eleven ya majeruhi tuliyopata msimu huu ambao wamekosa mechi zaidi ya 9 kila mmoja kwa nyakati tofauti tofauti.
 
Divin Mubama, a monster in the making, jana kawaweka nyumbu goli 2.
 
Anaitwa Wesley Franca, mbrazil miaka 21, right back, price tag ni £30m.
 
Siku kama ya leo, mwaka 2022, klabu inatangaza rasmi kufikia makubaliano na Erling Haaland.
 
Siku kama ya leo, mwaka 2011, tunafuzu UEFA kwa mara ya kwanza.
 
Roberto Mancini took city to their first Champions league tournament.
 
Niko soo interested kuona line up ya leo itakuwaje.

Will O'Reilly be deployed on the midfield?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…