Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,057
- 2,637
Wapewe habari hizi Arsenal
Tusubiri game iisheLeo vijana wamechafukwa yaani hawa wagonga nyundo leo wanakufa kifo kibaya sana
Yaani hawacheki na kima. Full mashambulizi.Leo vijana wamechafukwa yaani hawa wagonga nyundo leo wanakufa kifo kibaya sana

Sasa bado ngoma mbishi. Arsenal ikishinda 3-1 na Mancity itoke draw ya 2-2 Arsenal bingwa.43'
2 - 1
Lengo! Mohammed Kudus (West Ham) anaweka mpira nyuma ya kipa!
AiseeeMan City hachukui ubingwa