Uwanjani mnatupiga kweli kweli ila mambo yanaenda kubadilika. Huku mitandaoni kiushabiki sisi hatuna muda na nyie tuko busy na Manyumbu, Chelkenge na Liverkuku. Nyie ni attention seekers tu wala hamtusumbui.Sasa hapa wewe ndo unajipa umuhimu ambao huna.
Uje kujadiliana na nani humu timu trophyless?
[emoji23][emoji23]
Nenda kajadiliane na matrophyless wenzio humu hatuna mda na mayatima wa kimakombe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawa.
HahahahaUwanjani mnatupiga kweli kweli ila mambo yanaenda kubadilika. Huku mitandaoni kiushabiki sisi hatuna muda na nyie tuko busy na Manyumbu, Chelkenge na Liverkuku. Nyie ni attention seekers tu wala hamtusumbui.
Tunawachora tu mnavyojipitisha vibarazani kwetu na khanga moko iliyolowa na kujitahidi kutingisha yasiyomo, magumu na hayatingishiki. Hamna mvuto na hamutusisimui wala Nini. Tuna wake zetu ndani wakali zaidi nyie tunawasanifu tu.
Una uefa ngapi? (Hata conference inaruhusiwa kuonyesha kama unayo)
Ile app ya score 808 walionesha mechi ya jana?Toka mwaka 2011 hakuna timu iliyochukua community shield harafu ikienda kuwin PL ...
2021 lecister city alichukua lakin alishia nafasi 8
2022 alichukua Liverpool lakin kaishia nafasi 6
2023 kachukua arsenal [emoji23]...
Keep watching....
Yaaah walionesha ...Ile app ya score 808 walionesha mechi ya jana?
Hata ukichefukwa haiondoi ukweli City ni takataka🥲Kuna shabiki wa arsenal alikuwa kanichefua mkuu [emoji23][emoji23]mim mwenyewe nikisoma siamin kama niliandika mim ...
ile app inajitahidi kuonesha game ,karibia zote hata friendly game ...
Nimekuta muda huu wanaonyesha mpaka game za malaysia hukoYaaah walionesha ...
Kwamba Kuna uchawi hapo?Toka mwaka 2011 hakuna timu iliyochukua community shield harafu ikienda kuwin PL ...
2021 lecister city alichukua lakin alishia nafasi 8
2022 alichukua Liverpool lakin kaishia nafasi 6
2023 kachukua arsenal [emoji23]...
Keep watching....
Labda nyie mkatoe huo uchawi ,lakin historia iko pale ,ukishinda community shield,huna nguvu ya kuchukua epl Tena [emoji23]Kwamba Kuna uchawi hapo?
More hate more pain ,keep crying...Hata ukichefukwa haiondoi ukweli City ni takataka🥲
Challenge acceptedLabda nyie mkatoe huo uchawi ,lakin historia iko pale ,ukishinda community shield,huna nguvu ya kuchukua epl Tena [emoji23]
Mkuu na wewe umekuja kuubless huu Uzi wa Hawa wapweke? Hata Mimi nimewahurumia nikaona nipoteze muda wangu kuja kuwaungisha vicomments vichache. Hakika Mimi na wewe na kina hamis77 na Flano ni wema sana na tutachota thawabu kama zote Kwa namna tumejotolea kuja kuchangia humu.Hii timu ina mashabiki wanne JF nzima
Man city ni maji ,usipokunywa utayaoga ,au utayapikia tu [emoji23]...