The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Leon Goretzka: "Haaland has no respect for the opponent. He farted every time we approached him in the last game. He did it more than once!"

Is he up to his old tricks again vs Acerbi?

#UCLFinal   
20230610_230439.jpg
 
Bado nina imani tutatoboa hapa, kumuanzisha walker benchi ni uamuzi ambao mpaka muda huu sijauelewa
Uskute Pep na walker wanagombania demu. Haiwezekani kabisa Pep kumuacha walker asianze kwenye mechi muhimu kama hii.

Ila nikisemaga hapa pep mbaguzi nashambuliwa. Walker mama yake mzungu muingereza baba yake mwafrika mweusi mjamaica.

Ni mawazo yangu tu.
 
Uskute Pep na waljer wanagombania demu. Haiwezekani kabisa Pep kumuacha walker.

Ila nikisemaga hapa pep mbaguzi nashambuliwa. Walker mama yake mzungu muingereza baba take mwafrika mweusi mjamaica.

Ni mawazo tangu tu.
Jamaa una mawaZo ya kibaguzi tu, kila anaeachwa benchi kabaguliwa?

Unawaza kubaguana tu.
 
Jamaa una mawaZo ya kibaguzi tu, kila anaeachwa benchi kabaguliwa?

Unawaza kubaguana tu.
Ni mawazo yangu tu mkuu. Naipenda City lakini simpendi Pep. Kumbuka kaka zetu Etoo na Yahya Toure walivyosema. Hao ni wakuwaamini.
 
Inter anakufa, tena vizuri tu.........watu wamekuja humu kupiga soga tu.
 
Kumbukumbu zangu ni 2. Fainali yao ya kwanza ilikuwa na Chelsea. Ya pili ni hii na inter. Labda umekosea nusu fainali ile walicheza na Tottenham Hotspur VAR ikawaangusha. Na ile nusu fainali na Madrid mwaka jan
 
Back
Top Bottom