Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
morning

Called a 100M flop. Called overrated. Called a player that "wouldn't live up to the hype".
@JackGrealish has the most chances created in the #ChampionsLeague this season (35), averaging 3.7 chances created per 90min 
Ilkay Gündogan: "This season feels even more special than previous ones! My arms are already ready to lift two more titles!"Tukishanyanyua kwapa la UEFA ndio watapoteana jumla.Safi sana the citizen,naona uzi wetu baada ya mechi umekuwa poa sana maana wale mashabiki wanaokuja kutupondaponda wamekimbia mazima
Mtoto mdogo hata miaka 25 Bado lakin Yuko na watoto wawili plus hot wife ...tutafute pesaView attachment 2630889


Kuna interview Moja niliona foden anasema amewahi kuoa Kwa sababu akiwa nyumbani ,ameboeka starehe yake ni kupiga mbususu tu .....



...ndio maana ile kesi ya Mendy ya ubakaji inasemekana kabla Mendy hajaanza kuuomba mbususu Kwa yule demu ,jack alikuwa kashamgongo siku hiyo hiyo ,sema msala ulikuja kuangukia Kwa Mendy ...

Jack ni muhuni we cheki alivyokuwa akishangilia the time anaenda kuchukuwa medalKuna interview Moja niliona foden anasema amewahi kuoa Kwa sababu akiwa nyumbani ,ameboeka starehe yake ni kupiga mbususu tu .....
Grealish ni kwenda viwanja kupiga wine ,na mtoto mzuri yeyote atakayejileta anaondoka nae...ndio maana ile kesi ya Mendy ya ubakaji inasemekana kabla Mendy hajaanza kuuomba mbususu Kwa yule demu ,jack alikuwa kashamgongo siku hiyo hiyo ,sema msala ulikuja kuangukia Kwa Mendy ...
Haaland na yeye zinaiva na jack ,ni wazee wa out ,kupiga wine ,kiufupi jack ni mjanja mjanja Sana ,baada ya game haaland huwa anamuuliza jack "oyaa vip Leo viwanja wapi ,"![]()
Foden ananiacha hoi mie kwa kweli.Mtoto mdogo hata miaka 25 Bado lakin Yuko na watoto wawili plus hot wife ...tutafute pesaView attachment 2630889






KDB ndo anaonekana yuko cool ila yeye kutumia pamba hajamboo, kila brand ako nayoo afu OG.Kuna interview Moja niliona foden anasema amewahi kuoa Kwa sababu akiwa nyumbani ,ameboeka starehe yake ni kupiga mbususu tu .....
Grealish ni kwenda viwanja kupiga wine ,na mtoto mzuri yeyote atakayejileta anaondoka nae...ndio maana ile kesi ya Mendy ya ubakaji inasemekana kabla Mendy hajaanza kuuomba mbususu Kwa yule demu ,jack alikuwa kashamgongo siku hiyo hiyo ,sema msala ulikuja kuangukia Kwa Mendy ...
Haaland na yeye zinaiva na jack ,ni wazee wa out ,kupiga wine ,kiufupi jack ni mjanja mjanja Sana ,baada ya game haaland huwa anamuuliza jack "oyaa vip Leo viwanja wapi ,"![]()





Vinn Kuna muda namuona kama anacheza na jukwaa badala ya kudeal na mpira uwanjan ,kusema ukweli aliwakejeli mashabiki wa Valencia kuwa team yao itashuka daraja na itaenda division 1 hukoJana vini jr amebaguliwa hadi huruma aisee, mashabiki wakawa wanamuimba "monkey" "monkey" kwa kispaniola.
basi kama unavojua mashabiki walivo ..wakamuanzia maneno ...Buyern hawawezi kutupa kimmich mzee ,cancelo yeye keshayakanyaga ..Kuna uwezekano tukafanya swap deal na bayern, tukawaachia Cancelo wakatupa Kimmich.
Kdb Yuko humble Sana ,ana mke waje safii kabisa ...KDB ndo anaonekana yuko cool ila yeye kutumia pamba hajamboo, kila brand ako nayoo afu OG.![]()
... maajabu nikuwa wote ni wabeligiji courtois na kdb ,coucher wa ubeligiji aliona courtois hana adabu Kwa teammates na akamuuliza kdb vip huyu temteme kwenye kikosi cha taifa ya ubeligiji ,lakin kdb akasema hakuna sababu ya kumuacha courtois.....
,watu wakasema ilee ilikuwa personal kama kulipiza kisasi Kwa aliyewahi kumchukulia wife ..