The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Arsenal wanacheza ila unaona kabisa hawana confidence.
Mechi za wanaume hizi.
 
Ndio tuseme arsenal leo hawafanyi high pressing?
Wamekutana na wakali wa hizi kazi.
Wazee wa kuoverload na kupress wanategea.. Tunawaambia kila sik hii sio maji maji ya songea au mbeya city wanadhan utan.
 
Tukiongeza umakini apa kwenye box tutawabonda hawa Aseno 5

Tunakosa sana magoli
 
IMG_3154.jpg
 
Fantastic first half, tumeupiga mpira mzuri, arsenal wamesusa kufanya high pressing kama kawaida yao.

Saka, martinelli mfukoni.
 
Back
Top Bottom