The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Wanaume tunaingia hivi.

______haaland



grealish_gundogan__kdb_bernado



_____rodri_____stones



Akanji____dias___walker


_____ederson
 
Haya haya usiku wa deni haukawii twende kazi vijana wa Pep tuendelee kulinda heshima Etihad.
 
Watu hawana story nyingi, we kaa na mpira wenzako wakiupata wanajua jinsi ya kuutumia
 
Kwa wale mnaofatilia updates hum matokeo ni 1-0 the cityzens tunaongoza
 
IMG_3151.jpg

Mtu mbaya
 
Back
Top Bottom