MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,735
- 11,344
hii City mbona itaniua.
Tunadraw na Nottingham kweli
aisee
Tunadraw na Nottingham kweli
aisee
aisee


Nyie si ndio wale wa 12+W auhii City mbona itaniua.
Tunadraw na Nottingham kweliaisee



Nottingham forest up next.
I can see another 3 clean points.
Hatutakiwi kudondosha point hapo.



Aaargh yaan hatuna consistency kabisa...hata kushinda mechi 3 saivi ni mgogorohii City mbona itaniua.
Tunadraw na Nottingham kweliaisee
You couldn't keep the pressure for two daysKumbe kileleni tulikuwa tunatalii tu kmmakeee



Mlivomfunga Arsenal mkaona imetoshahii City mbona itaniua.
Tunadraw na Nottingham kweliaisee

lakini pia msilaumu, wachezaji wamechoka baada ya mechi na ArsenalHehehe endelea kusubiri nazi chini ya mchongoma.Nyie kobe mumetoa sare, sio?
Naamini ubingwa ni wetu huu.
Wakati tunafungwa goli, bernado silva ambaye alikuwa na majukumu ya left back alikuwa out of position.Pep kila siku anapigwa counter attack lakini habadiliki. Sijui mazoezini anawafundisha nini huyu. Bullshit
Game ya jana tumekuwa butu kisenge, kuna zile chance walizopata kina foden,laporte, rodri lakini walichokifanya wanajua wenyewe.We possessed the ball by less than 40 percent against arsenal and we were clinical enough to score 3 goals.
Yesterday, we possessed the ball by about 70+ percent but we were blunt only to score one goal.
It's a combination of poor finishing & poor defending.