Mpaka Sasahivi hizo point za walinda misitu Man City kaisha ziweka kipindoni,Timu za Epl zitegemee mbeleko ya Fa tu ya kupoka point au kumshusha daraja City,la sivyo kombe hili watakuwa wanalitiza kwenye picha,au wasubiri Pep haondoke CityNext ni nottingham forest then tunaelekea ligi ya kiumeni UEFA champions league.
Wameona tutaifanya farmers league wameamua kutuletea zengwe kutushusha madaraja..Mpaka Sasahivi hizo point za walinda misitu Man City kaisha ziweka kipindoni,Timu za Epl zitegemee mbeleko ya Fa tu ya kupoka point au kumshusha daraja City,la sivyo kombe hili watakuwa wanalitiza kwenye picha,au wasubiri Pep haondoke City
Huyu na mwenzake Allison kwenye penati ni weupe pee hamna kitu.ule ule upande aliopoint Saka kapiga kule kulesikumbuki ni Lin ederson amesave penalty...View attachment 2518888
Mtalipa mwaka 2096 mkiwa kaburini sio mwaka huuuDaah nyie wazee,, hua mnatualibia sana mambo yetu,, sasa tunatangaza vita. Visasi vitalipwa
Na mkataba wa pep ni mpaka 2026 mtaisoma namba raundi hiiiMpaka Sasahivi hizo point za walinda misitu Man City kaisha ziweka kipindoni,Timu za Epl zitegemee mbeleko ya Fa tu ya kupoka point au kumshusha daraja City,la sivyo kombe hili watakuwa wanalitiza kwenye picha,au wasubiri Pep haondoke City



Ni 2025 mkuu.Na mkataba wa pep ni mpaka 2026 mtaisoma namba raundi hiii![]()
Ederson kwenye penalty hesabu maumivu..ule ule upande aliopoint Saka kapiga kule kulesikumbuki ni Lin ederson amesave penalty...View attachment 2518888
Another outstanding perfomance from jack..Grealish anaimprove siku hadi siku.
Kawaida tu,, mbona,, bado tup na nyie bega kwa bega mpka kieleweke1 out of 9 points!!
Arsenal ain't serious with the trophy.
| 𝗝𝗲𝗺𝗶𝗲 𝗖𝗮𝗿𝗿𝗮𝗴𝗵𝗲𝗿: “I think the big thing for Arsenal is not to panic. The only way I’ve ever felt Arsenal could win the league is if Man City go deep in the Champions League and FA Cup. They will probably get to the semi-finals of both of those competitions at least.” [CBS]
| Carragher: “When it gets towards the end of the season, Man City could have so many games that even if Arsenal were level or two points behind, they could come late and clinch the title.”
kazi kufuga upara tuNottingham Forest leo ndyo tunaanza ligi
Kucheza na timu ambayo haina kombe la uefa ni utovu wa nidham
Nottingham Forest kombe la Uefa 2
Mwacitykazi kufuga upara tu



