The Man Next Door


Aaahahahahahaaa yaaani kama jirani yuko humu mtafanya bichwa lake livimbe looh😜😜.

Well the step ahead was, jirani jana alikaa kwenye korido anasubiri nirudi kazini.....

Namsalimia, akaomba simu yangu akaji flush namba yake.......! So he has my number...

All these time tuko majirani wala hatukuwa tunafahamiana namba zetu na hatukuwa na desturi ya kubadili ana kwa simu.

We lightly chat yesterday night and off I was taken away by the sleep 😴.

So far so good, leo nimekaza asije leta mambo ya masihara ....😜😜
 
Ukiona comments hazijibiwi yawezakana hatua aliyopiga jirani Ni kubwa
Kuna atakua Yuko anafinyiwa kwa ndani mda huu

Hapana jamaniii....

Usingizi ilinipitia nikalala foofoofooo kama katoto kachanga πŸ˜‹.

Nilikuwa salama kabisa...😊.
 
Ulisema mwenyewe kuwa una genye..acha jirani afanye mambo..unajibana bana ili iwe nini Kasie binti mahaba?


Aaahahahahaa ni kweli zimejaa pomoni ila sirihusu zitolewe kirahisi rahisi bin masihara....

Naibana bana nije kuisherehekea vizuri kwenye klismasi...πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜…
 

Yaani mapenzi bana.. πŸ˜€πŸ˜€ mnavyoviziana utadhani vitoto vya sekondari. Eti apo utakuta jamaa nae anapanga viji strategy vya jinsi ya kukuingia, na wewe unapanga viji mbinu vya kumkazia ili asikupate kirahisi..🀣🀣🀣 Wakati sisi wote hapa tunajua mwisho wa siku kitakachotokea 😁😁
 
Mpe tu jirani akupelekee moto, maana kwa sasa wanaume tumekuwa na mbinu nyingi mno za kula mbususu kimasihara.
 
Mpe tu jirani akupelekee moto, maana kwa sasa wanaume tumekuwa na mbinu nyingi mno za kula mbususu kimasihara.

Weeeh hata simpi, ataimaliza mbususu yangu huyujirani anaonekana ana kiwi sana....😜
 

Yaani hata ikitokea....

Iwe Desemba hukoo tukiwa tunasherehekea sikukuu ya krismasi na mwaka mpya.

Saa hizi nambania kwanza, na hili baridi nikimlegezea tuu nimeliwa...πŸ˜….
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…