The lord of the smartphone, return of the king!

We si ndo umemeza simu ni cpu tu.

Event ni tarehe 5 september 2012 vitu vinaleak taratibu so tunapashana usiwe na haraka

Android na apple na kitu chao ios walikua wanawa brain wishing watu sana tuuuu ila sasa wamepata kiboko yao microsoft lazma kitaeleweka

smartphone kweli sio CPU smartphone is all about freedom to do whatever you want with it either change the way it looks, overclock it, underclock it... a smartphone should be what you want it to be ndio maana kamwe watatoa windows phone 8,9,hadi 10 au ios 7 hadi mia kamwe nawaambia Android amtakaaa hata muifikie EVER ....yani device yeyote ikiwa with Google ™ hata iweje ujue ni mashine a breakthrough in innovation ...mtakaa kaa kaa na 41mp zenu basi
 
For ur information haya ni makampun yaliyokua yanatumia android sasa yanatumia windows phone
-samsung
-acer
-lenovo
-htc

Hapo os haijatoka na kufanya kazi.

Android ilikua inatamba cause ilikua yenyewe for the first time imepata competition maana os za zamani kama symbian, ios na bada zote zinatumiwa na makampun yaliyotengeneza tu.

4 hours to go.
http://nokia.com/webcast
 
nimekua nikifuatilia mabadiliko ya kiteknolojia za simu za Nokia tatizo kubwa la nokia ni kuchelewa ku adopt technology ukiangalia kuanzaia mwaka 2008 Nokia wamekua wakifuatia nyuma ki technology, mfano ni evolution ya capacitive touchscreen wakati Samsung, iPhone, LG, Motorola etc walikua wanakimbilia huko Nokia alikua kanga'ang'ania na resistive touchscreen, pia katika hardware support , OS za nokia mpaka sasa ni cheche katika hardware support ilitakiwa wakati wana update Symbian^3 to Anna and Belle wange rekebisha hilo maana single core CPU na 256MB RAM zina katisha tamaa kwa kweli!! Let's hope WP8 ilete mabadiliko ya hali ya juu kabisa.
Also kuna Mid range Nokia with WP8 inategemewa kua released in 2013,
In order for Nokia to regain their popularity lazima hizo WP8 zisiwe na bei ya kutisha.
 
Usisahau ningar kipindi n9 inatoka kulikua na iphone 4 na samsung galaxy s n9 ndo ilikua simu yenye rich specification 1ghz processor, 1gb rama na 64 gb internal hii simu ilikua kinara wa wote but wrong os. Hio ilikua june mwaka jana.

Pia ukumbuke n8 2008 ilikua ndo kinara na 12mp yake na mpaka leo ndo simu ya 2008 inayouza hadi leo kwa wingi.

Na wp8 nlivoskia nokia wanaeka kila kitu kipya tetesi wanasema hata screen ni technology yao mpya ya pureview na flash hawatatumia xenon wataeka led yao so ustegemee vitu vya samsung au aple viwe kwenye nokia
 
Samsung na HTC azija switch zote zinadevelop both Os s tokea enzi za windows mobile wamo hadi now windows 7 and 7.5 lakini revenue generator yao kubwa kwenye smartphone iko bado android ...

Naisubiria kwa hamu itokeiyo windows phone competition yake ios ..Android itaota ...
 
Usisahau ningar kipindi n9 inatoka kulikua na iphone 4 na samsung galaxy s n9 ndo ilikua simu yenye rich specification 1ghz processor, 1gb rama na 64 gb internal hii simu ilikua kinara wa wote but wrong os. Hio ilikua june mwaka jana.

Pia ukumbuke n8 2008 ilikua ndo kinara na 12mp yake na mpaka leo ndo simu ya 2008 inayouza hadi leo kwa wingi.

Na wp8 nlivoskia nokia wanaeka kila kitu kipya tetesi wanasema hata screen ni technology yao mpya ya pureview na flash hawatatumia xenon wataeka led yao so ustegemee vitu vya samsung au aple viwe kwenye nokia

unaweza ona tofauti toka N8 to n9 ndo zikaja lumia pia angalia bei zake, wakati android wana visimu hadi vya laki, pia nakubaliana nawewe kua n9 ni powerful but wrong os, ilikua inahitajika Nokia warekebishe Belle isupport hardware kubwa, pia suala la Nokia kuja na technology zao kwenye WP8 it's great idea b'coz we need uniqueness of Nokia like it was in N73,N82,N95 &N96, other thing waje na simu za WP8 za bei nafuu kama ilivyo kwa Asha na Nokia 500 hapo watateka hata soko la huku kwetu SIGIMBI,
Let's wait Nokia World
 
A2BnopmCYAAtl7C.jpeg

Leo asubuhi nokia wametweet breakfast mtu anakula JELLYBEANS huku lumia 820 ipo pembeni
 
Yaani nimejikuta nipo hapa, sijui nimefikaje, yaani mkisema,symbian,Os,lumia,android sijui ICS mi naona kichina tu, mie zangu mchina,double line,charger pin ndogo,ina bluetooth na vibration nimemaliza, ntarudi kesho
teh teh acha kunivunja mbavu! Hizo ndo za ushwaz kwetu,ubora wa simu wanaupima kwa kuwa na double line,bluetooth na memory card baaasi!
 
Jamani tuacheni ubishi mimi sio window mobile fun, me ni fun wa Samsung powered by Android.

Ila ukweli nitausema tu! Windows Mobile 8 ikitoka ni funiko uless narudia tena UNLESS wainyime vitu vyote ambavyo vipo kwa window 8.....
Samsung Galaxy series ni noma ila kwaninavyoona WM8 hiyo itakuwa mshike mshike tusubiri tuone.
 
kama ulivoichukia nokia ndo utaipenda tena.

Narudia tena os za zamani zilikua na hardware limitation thats why nokia akawa hawezi kutoa simu zenye hardware kubwa lakini kwenye vitu vyengine nokia wapo juu hadi leo.
-simu yenye camera nzuri zaidi nokia 808
-brightest phone ni nokia 701
-curved screen ya kwanza nokia n9
-simu inayoboot os 3 kwa mpigo nokia n9

so kuna vitu vingi nokia wapo special na wakivileta kwenye lumia watakua hawakamatiki

''samsung come and take a note next lumia generation is coming soon''

sjasahau huo msemo

who said this mkuu?

Jamani tuacheni ubishi mimi sio window mobile fun, me ni fun wa Samsung powered by Android.

Ila ukweli nitausema tu! Windows Mobile 8 ikitoka ni funiko uless narudia tena UNLESS wainyime vitu vyote ambavyo vipo kwa window 8.....
Samsung Galaxy series ni noma ila kwaninavyoona WM8 hiyo itakuwa mshike mshike tusubiri tuone.

kama we huwezi ishi bila samsung mbona kitu chenu kipo tayari cha wp8 samsung ativ

samsung-ativ-s-leak.jpg
 
chief unachek event?? niko eneo moja 3G cheche mno, sijui ntapata hizo videos YouTube??

Yah naangalia sema ina buffer ile mbayaaaa quality kubwa ya video zao. Nafkiri bdae youtube itapatikana
 
zile offline map zipo, processor ni qualcom s4 processor better than quadcore, battery ni 2000mhz wireless charge ipo wenyewe wanaita FATBOY RECHARGE PILLOW

Kuna kitu wanaita floating lens new feature sjaielewa ila ni katika camera app zinakuja huku upo katika camera mode
 
ningaaar wamekujibu nokia SUPER SENSITIVE TOUCh hadi ukivaa GLOVES kama za boxer inakubali

Screen-Shot-2012-09-05-at-15.53.47-600x283.jpg
 
mh! Jaman nlienda mbeya ndo narud irnga... Muendelee kutujuza., maana its so interesting
 
Back
Top Bottom