utakuja
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 990
- 800
ningaaar wamekujibu nokia SUPER SENSITIVE TOUCh hadi ukivaa GLOVES kama za boxer inakubali
mbona xperia sola hii tech ipo
ningaaar wamekujibu nokia SUPER SENSITIVE TOUCh hadi ukivaa GLOVES kama za boxer inakubali
umesoma hio habari au unaropoka?
Kabla ya yote jiulize haya
1. Je nokia alisema hio video ya page yao ya fb imechukuliwa na l920? Jibu hapana nokia hajasema
2. Je toka dunia ianzishe mpaka leo kuna camera ambayo inaonesha 360% jibu hapana so obviously anaeonekana kwenye camera anachukuliwa na mwengine
3. Je kuna mtu anaetaka kudanganya watu halafu aeke ushahidi kwa hapo hapo yeye muongo? jibu muongo haeki
4. Je zilivoshindwanishwa camera za l920 na simu zote zilizobakia duniani kasoro kakake 808 pureview ipi ilishinda? jibu 920 kawashinda wote.
Badae ntarudi
Kwenye swali lako la kwanza iyo image kwenye picha ya Facebook kama ukisoma vizuri utaona walidai kuwa imepigwa na the new lumia ilikua kwenye promotional images na video ...wakati ilipigwa na Slr camera bila kuweka disclaimer yoyote ...
maswali mengine just wait and see mwaka aujaisha bado atujaona iPhone 5 na simu nyingine from Sony