The lord of the smartphone, return of the king!

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,715
39,796
Tarehe 5 ni nokia world ambapo nokia inatarajiwa kuzindua simu zake mpya za windows 8. Kutokana na source mbalimbali nokia wanatarajia kufanya mapinduzi ya smartphone.
A14GwhqCMAAI8wl1.jpg

hio picha ni ya nokia lumia 820 ambayo ni mid range smartphone itakayokua na dual core 1.5 ghz na ram 1gb high end smartphone lumia 920 specification zake bado hazijaleak

wadau wa nokia mult core zimekuja hii inaonesha nokia hakua na os ya kutengenezea kwa sababu symbian na wp7 hazisuport multcore sasa wp8 inasuport tutegemee makubwa.

wireless charging
Concept concept concept now yamekua kweli first on smartphones lumia za wp8 zitakua na wireless charge haitakua na haja tena ya kuhangaika na mawaya waya
A14E7xDCcAIPttH.jpg

Kama unavoona itakuja na pad yake (sio zile za kike), pad hio utachomeka kwenye umeme na wirelesslyy itaichaji lumia yako.

Guys ntawapa more stories kadri vitu vinavyoleak ila kama unanet nzuri tarehe 5 sa 11 jion tukutane hapa

Http://nokia.com/webcast
 
bado sijashawishika kutumia wm phones. nilikuwa mpenzi mkubwa mno wa symbian enzi zake (siku za s60v3). nokia walianza kunibore walivyotoa s60v5 kwa kuwa hawakutoa jipya. smbian^3 ndo ilikuwa full kuniua coz I expected more, lakini wapi. saa hivi mi mdau wa IOS, ninafurahia mno hii hapa iphone 4, na nasubiri sana ios6.
nokia waliumiza sana na kufanya collabo na msn. nilikuwa tayari kuendelea kutumia symbian wangefanya tumabadiliko kidogo, haswa kwenye cpu speeds na RAM.
 
Chief kama unakumbuka few weeks a go nishawahi sema kua kunakuja Nokia Lumia 920 yenye PureView technology and it turns out true, lumia 920 it'll be awesome man, inabidi jamaa wamantain price iwe ya kuvutia wateja.
 
Nakubaliana na wewe wengi tulipenda Nokia because of Symbian OS, inawabidi wafanye changes in Symbian kuludisha wateja wake wa zamani
 
Yaani nokia wanatia hurumaaaaa,
Sasa hawanirudishi huko Mabwepande. Niko na iPhone, naisubir toleo lijalo..... Hayo mataputapu watajiju!!!
 
tangu nimeachana na nokia najisikia raha sana. ntatumia anything else other than nokia. wireless charge ipo na iphone muda sasa..
nokia hawana jipya. hawawezi kuwa tena namba moja kwenye mauzo.

labda ninunue low end nokia ntaitumia nikiwa kijijini ambako umeme hakuna lakini otherwise ntabaki na android... Htc au Samsung will do me a favor
 
Chief kama unakumbuka few weeks a go nishawahi sema kua kunakuja Nokia Lumia 920 yenye PureView technology and it turns out true, lumia 920 it'll be awesome man, inabidi jamaa wamantain price iwe ya kuvutia wateja.

Yap bro nakumbuka hio ya njano ndio 920 bei itakua kubwa na nyekundu 820 bei ndogo. Sema nokia wasije rudia mistake zao za kila simu moja inakua na features nzuri ambayo simu nyengine haina
 
kama ulivoichukia nokia ndo utaipenda tena.

Narudia tena os za zamani zilikua na hardware limitation thats why nokia akawa hawezi kutoa simu zenye hardware kubwa lakini kwenye vitu vyengine nokia wapo juu hadi leo.
-simu yenye camera nzuri zaidi nokia 808
-brightest phone ni nokia 701
-curved screen ya kwanza nokia n9
-simu inayoboot os 3 kwa mpigo nokia n9

So kuna vitu vingi nokia wapo special na wakivileta kwenye lumia watakua hawakamatiki

''samsung come and take a note next lumia generation is coming soon''

Sjasahau huo msemo
 
N9 najua inaboot Android ICS na MeeGo hiyo ya 3 ni os ipi?? pia hii N9 ni developer device sasa mtu ka mimi ntaitoa wapi??
 
tangu nimeachana na nokia najisikia raha sana. ntatumia anything else other than nokia. wireless charge ipo na iphone muda sasa..
nokia hawana jipya. hawawezi kuwa tena namba moja kwenye mauzo.

labda ninunue low end nokia ntaitumia nikiwa kijijini ambako umeme hakuna lakini otherwise ntabaki na android... Htc au Samsung will do me a favor

Iphone hawana wireless chargeee ndo wamepewa haki mwisho wa mwezi wa 6 kuitengeneza zilizopo ni fix tu

Iphone awe na wireless charge usijue tena wazee wa masifa wale ungeskia ''icharge''
 
N9 najua inaboot Android ICS na MeeGo hiyo ya 3 ni os ipi?? pia hii N9 ni developer device sasa mtu ka mimi ntaitoa wapi??

N9 inaboot
-jelly bean (imeboot kabla ya kina samsung)
-meego hartmattan 1.3
-nemo
Zote 3 kwa mpigo

1a-600x450.jpg

N9 sio developer device inapatikana kama simu nyengine developer device ni nokia 950
 
No mkuu! N9 ipo madukani.... Umeichanganya na n950 ... Hii n950 ndo ya developers tuuu
 
Iphone hawana wireless chargeee ndo wamepewa haki mwisho wa mwezi wa 6 kuitengeneza zilizopo ni fix tu

Iphone awe na wireless charge usijue tena wazee wa masifa wale ungeskia ''icharge''

Ha ha ha hapa ni kweli mkuuu....
 
N9 inaboot
-jelly bean (imeboot kabla ya kina samsung)
-meego hartmattan 1.3
-nemo
Zote 3 kwa mpigo

1a-600x450.jpg

N9 sio developer device inapatikana kama simu nyengine developer device ni nokia 950

sasa kilicho baki iboot na Belle hapo ndo itakua mwisho wa matatizo
 
chief-mkwawa niliona ad wakitangaza iyo chaja imetengenezwa na duracel for iphone. moja ya matangazo kafanya jayz. hapa situmii laptop ningekupa link au search youtube utaona iyo. tena nimeona iyo chaja muda kidogo
 
Last edited by a moderator:
N9 inaboot
-jelly bean (imeboot kabla ya kina samsung)
-meego hartmattan 1.3
-nemo
Zote 3 kwa mpigo

1a-600x450.jpg

N9 sio developer device inapatikana kama simu nyengine developer device ni nokia 950

Mbona hapa umeweka windows nemo ndo ip hyo?

Then mara ya kwanza walipo jarbu kuweka androids kweny n900 na n800 wanasema ilkua inazngua kupga cmu ilikua ni 2.1 so kwenye jelly bean in n9 inapga kaz?
 
Kutokana na maelezo ya alocrack ndo nemo, mi mwenyewe sjaisoma sana hio nemo
 
chief-mkwawa niliona ad wakitangaza iyo chaja imetengenezwa na duracel for iphone. moja ya matangazo kafanya jayz. hapa situmii laptop ningekupa link au search youtube utaona iyo. tena nimeona iyo chaja muda kidogo

Mi nilivoona wamepewa haki hio tarehe 27 mwezi wa 6 sio rahisi miezi miwili iwe tayari na hata kama ipo tayari wataitoa na ios 6 hawawezi itoa kirahisi namna hio.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom