The lord of the smartphone, return of the king!

Yaani nimejikuta nipo hapa, sijui nimefikaje, yaani mkisema,symbian,Os,lumia,android sijui ICS mi naona kichina tu, mie zangu mchina,double line,charger pin ndogo,ina bluetooth na vibration nimemaliza, ntarudi kesho
 
Nokia is the beeest. NOKIA 808. 41 mp. 16 GB internal. 528 MB RAM. 1.6 ghz Processor. Auto-accelerometer. Multi-capacitative touch screen. Scratch resistant gorilla glass. 640x320 resolution. 720p-1080p video recording. Gps and so much more, is this a phone or a robot??!!
 
Nokia inaweza ikawa ni poa lakini kutumia Windows Mobile ndo inani-bore mimi. It's justlike iPhone, you can't do shit without Zune, and that sucks.
 
Nokia is the beeest. NOKIA 808. 41 mp. 16 GB internal. 528 MB RAM. 1.6 ghz Processor. Auto-accelerometer. Multi-capacitative touch screen. Scratch resistant gorilla glass. 640x320 resolution. 720p-1080p video recording. Gps and so much more, is this a phone or a robot??!!

Well, maybe you can call it a PHROBOT!
 
naona wameweka na hiyo tiled displayed yaani imekaa kii win8 kwelikweli sasa hiyo tar tano ni kesho au next yr chief-mkwawa help on such date nokia addicter
 
Last edited by a moderator:
Tarehe 5 ni nokia world ambapo nokia inatarajiwa kuzindua simu zake mpya za windows 8. Kutokana na source mbalimbali nokia wanatarajia kufanya mapinduzi ya smartphone.
A14GwhqCMAAI8wl1.jpg

hio picha ni ya nokia lumia 820 ambayo ni mid range smartphone itakayokua na dual core 1.5 ghz na ram 1gb high end smartphone lumia 920 specification zake bado hazijaleak

wadau wa nokia mult core zimekuja hii inaonesha nokia hakua na os ya kutengenezea kwa sababu symbian na wp7 hazisuport multcore sasa wp8 inasuport tutegemee makubwa.

wireless charging
Concept concept concept now yamekua kweli first on smartphones lumia za wp8 zitakua na wireless charge haitakua na haja tena ya kuhangaika na mawaya waya
A14E7xDCcAIPttH.jpg

Kama unavoona itakuja na pad yake (sio zile za kike), pad hio utachomeka kwenye umeme na wirelesslyy itaichaji lumia yako.

Guys ntawapa more stories kadri vitu vinavyoleak ila kama unanet nzuri tarehe 5 sa 11 jion tukutane hapa

Http://nokia.com/webcast

mbona muonekano wa hiyo red ni kama ipod vile..
 
Dah nilijua kitu cha maana kumbe ni. Nokia wanatangaza simu yenye innovation za LG, Samsung, HTC back in 2011 ..eti wireless charging hahaha dah that's the best they can do kweli wameanguka
 
Dah nilijua kitu cha maana kumbe ni. Nokia wanatangaza simu yenye innovation za LG, Samsung, HTC back in 2011 ..eti wireless charging hahaha dah that's the best they can do kweli wameanguka

Mkuu kama vtu vipí hvyo ambavyo hao kna lg wanavyo?
 
importantly iyo dual core processor ambayo hata midrange phone karibia zote now zinazo

So ungesema kuwa ni cpu! Kama ndo hvo mbona si tatzo sanaa... S3 ni quad core lakn kuwa quad core haimaanish kuwa ndo itakua best ever
 
So ungesema kuwa ni cpu! Kama ndo hvo mbona si tatzo sanaa... S3 ni quad core lakn kuwa quad core haimaanish kuwa ndo itakua best ever

" The lord of the smartphone, return of the
king!" kwa iyo title ya mwenyewe nilikua najua wata
come out with a smartphone ambayo itago beyond
anything that's out right now smartphone yakufunika
the power of the Samsung galaxy SIII, The battery of
the Motorola Rzr Maxx etc
 
We si ndo umemeza simu ni cpu tu.

Event ni tarehe 5 september 2012 vitu vinaleak taratibu so tunapashana usiwe na haraka

Android na apple na kitu chao ios walikua wanawa brain wishing watu sana tuuuu ila sasa wamepata kiboko yao microsoft lazma kitaeleweka
 
mda uiopita tulickia i pod,i phone,i pad wakiwaiga nokia utackia i snap wakiiga 48 mp camera ya nokia, i booter wakiiga n9 na i charge wakiga wireles
 
Back
Top Bottom