kweli mkuu,me sitak hata kuangalia itv
roho inauma:eek2:
Umenena kweli....nikifikiria sasa hivi kuna watu hawana hata habari juu ya nini kinaendelea...wanajua fika jana ulifanyika uchaguzi ila hawana hata habari kuhusu nini kinaendelea wakati mimi hapa kichwa kinaniuma hapa na sina uhakika kama nitalala usingizi......
Kuna muda unatamani kama usisikie chochote, yapite tu! Lakini ndio tunaishi humu humu. Ukienda ofisini yanaongelewa, ukipanda dala dala redio zinaongea. Unaweza ukasema ngoja niende bar nikatulie, nako TV zinaonesha.
dah umenena vema mkuu, mi ningekuwa mwenyewe nyumbani ningekuwa naangalia series tu mda woote ata nisinunue bundle, ila tupo wawili jamaa anasisitiza tuangalie tu, naangalia najikuta nina bundle tena, ngoja nitafute namna nyingine ya kuwa mpumbavu ila ngumu.
Ndo mana sikuoni sikuhizi...
ifike hatua mambo ya kusaidiana ndugu kulipiana karo, kusaidia huduma za afya. kuwapa watu chakula sijui mavazi eti unawahurumia wana shida huo wakati umepitwa kila mtu aji fight mwenyewe sababu nina uhakika wasio utaka uongozi wa ccm hawana shida wengi wanajiweza kiuchumi na ndo watoaji msaada wakubwa kwa ndugu zao. hakuna kuchoka maandalizi ya uchaguzi wa 2020 ni sasa makosa na mafanikio ya vyama vya upinzani yanapaswa kufanyia kazi kuanzia hivi sasa. mimi sikati tamaa ndo kwanza nimepata hali ya kutoa elimu. ujinga ni ghali sana
pamoja na yote miaka 5 ni michache sana sasa hivi ukikata tamaa you loose control and mood for next move. siasa ni vita mwanajeshi mweredi huwa hakubali ku surrener hadi pale mauti itakapo mpata basi adui atajihakikishia ushinda. huu ni wakati wa kujitathmini wote wenye mapenzi ya kweli ya kuona ccm inang'oka kukaa chini na kutafakari na kujitolea kwa hali zote ili adhma yetu itimie. am on my 20's bado nina hali ya kuleta change kama haitakuja in my 30's au 40's nitawasimulia wanangu one timeAmini nakuambia....hazitatazamika,mimi nimejaribu haijafaa kitu naona kichwa ndo kinazidi kuniuma
Umenimisi eeh?
Nimependa spirit yako.....umeniambukiza walahpamoja na yote miaka 5 ni michache sana sasa hivi ukikata tamaa you loose control and mood for next move. siasa ni vita mwanajeshi mweredi huwa hakubali ku surrener hadi pale mauti itakapo mpata basi adui atajihakikishia ushinda. huu ni wakati wa kujitathmini wote wenye mapenzi ya kweli ya kuona ccm inang'oka kukaa chini na kutafakari na kujitolea kwa hali zote ili adhma yetu itimie. am on my 20's bado nina hali ya kuleta change kama haitakuja in my 30's au 40's nitawasimulia wanangu one time
nimekumiss sana mtoto... itabidi nikufate ulipo