The Kingsman 2: The Golden circle Movie Premier!

Uko vizuri sana....tafuta wadhamini ufanye kipindi Cha kuelezea movies utapata wadau wengi sana nikiwemo mimi (just kidding)

Movie nyingi za kizungu hata hasa hizi za kusadikika nyingi zinakua na maana tena nyingine zinakua na mkono wa CIA.
Mfano movie ya Starwar ilionyesha silaha ya laser,baadae Marekani kweli wakaja kuitoa rasmi silaha ya aina hiyo na mpaka sasa bado inaendelea na majaribio ili kuanza kazi rasmi kijeshi.

Kuna movie(sema nimeisahau jina) inaonyesha Risasi ikifata mtu hata akikimbia mpaka inampata,baadae kuna sehemu nikasoma kwamba kuna project Kama hiyo ipo ndani ya jeshi la Marekani.

Kuna movie nyingine ile ya Whitehouse Down,kuna sehemu Rais anafungua cjui mlango wa Base ule kwa kutumia macho, kipindi kile tulikua tunaona kitu Cha ajabu lakini leo hii kuna simu unatumia macho kuzifungua.

Pia kupitia movies wanatangaza bidhaa zao mfano bidhaa za Apple, Samsung,aina za magari,nk.

Kiufupi movie nyingi za Hollywood zinakua na maana ndani yake,ikiwemo kusambaza Propaganda za hao weupe.
Movie nyingi ni Project za watu... ndio maana wanagaramia mapesa mengi ,kwasababu kuleta burudani ni lengo lao la mwisho kabisa ...
lakini kwa m2 mwenye maono atakugundua every move/step ambayo inafanyika katika hizi movie za fiction sijui... huwa ina maana kubwa na nzito....

yani kwanzia mavazi,location,magari nk na ndio maana huwaga hazielewekagi zina ujumbe gani ,kumbe ujumbe ni wa miaka 20 ijayo....wakati ushasahau kuwa ulishaona movie inaitwa kingsman...
unakuta mwisho wa movie ma special thanks hayaishi unaweza kwenda kutoka ubungo mpaka posta hayajaisha.

haya ni maproject ya kutusuuza ubongo ,ili yatakapotukia tusishangae tuone tu kawaida....

Ndio maana tunaambiwaga sisi ni watoto wadogo tu hatujui chochote... hatujui hata ⅛ya dunia..tunajua kile ambacho wanataka tujue...

na kwa wale wote ambao wanafurahia burudani ya hio movie bila kuelewa behind the scene ni ujinga uliotukuka na tutaangamia sana kwa kukosa maarifa
 
Kweli kabisa....tena lengo lingine la haya mamovie ni kuendelea kuusambaza utamaduni wa kimagharibi
 
Pa utamaduni hapo mbona wametushika 100%
maana wameleta smartphone...
sasa hivi watu tunaonyeshwa kitu then tunajiharibu wenyewe..
mwaka juzi beyonce alipiga picha tumbo la mimba wazi..
sasa hivi nadhani tunajionea mambo huku makwetu kila mtu tumbo wazi
 
Hahahah....na wabongo kwa kuiga tu tupo vizuri.

Watu wakimwona Chris Brown katoboa kipini na wao wanaiga[emoji38]
 
Back
Top Bottom