City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 3,791
- 4,237
Kipi kilitokea baada ya kutekeleza hili hadharani?akamuua meya mbele ya ukumbi wa jiji
Kipi kilitokea baada ya kutekeleza hili hadharani?akamuua meya mbele ya ukumbi wa jiji
Baada ya kuua hadharani namaanisha ktk eneo la tukio aliescape vipi?Alikimbilia Sao paul
Wewe wasemako imekua muvi tna
mimi nimeikumbuka series ya DexterNimeikumbuka movie ya SAW
Kweli mkuu, eti alimtembelea baba ake akamuua kwa kisu na kuutafuna moyo wake,,, aliwezaje kuingia na kisu gerezaniAlikua anauaje mbele za watu bila kukamatwa???
Kuna vitu vingi havijakaa sawa hapa...
Siku zote napenda mawazo yanayompa nguvu mwingine.Ndio ni kipaji... Ila nakiona kipaji chako kimechoka kujificha kimeamua kuchomoza endelea tu kuandika usikate tamaa kimekaribia kujidhihirisha hadharani.
Keep the good writings alive mkuu.
Ahsante kwa ushauri wako mkuu Gudume. Nimeupokea ushauri wako kaka.You love to learn. Ni jambo zuri sana. Kusoma, kujifunza ndo maarifa yenyewe. Uandishi wako si mbaya sema katika hii story imekuwa plain sana. Kuna visa hukuviendeleza so inaonekana muuaji kama alikiwa anaua tu halafu anaendelea na maisha yake. Alipataje panga kumuu yule mfungwa mwingne kwenye gari na polis? So many questions. Endelea kutupa vitu jaribu tu kujibu maswali ndani ya andiko lako moja kwa moja. Otherwise hongera.
Kingine ukisoma fanya utafiti zaidi. Then nawe think ili usiandike tena habari za kuwa michael jackson na kanye west wamekuwa cloned.hicho kitu wanasayansi waliishia kwa nyani tu na hawakufanikiwa sana. Kwa binadamu no. So nakupongeza sana. Za kuambiwa uwe unachanganya na za kwako..... Ndo uandishi mzuri. Kinyume na hapo wewe ni mtu unayependa elimu sana. Achana na hawa madogo hawapendi kusoma na wanakosa maarifa. Endelea kupenda kusoma.
Uzi wa zamani, kama una soft copy ya hivyo vitabu naomba tuwekee hapa tufaidi sote,asante!Umenikumbusha hivi vitabu "Serial Homicide" na "Serial Killer X"....