The killer of Killers: Mfahamu muuaji aliyeua zaidi ya wauaji 70 nchini Brazil

You love to learn. Ni jambo zuri sana. Kusoma, kujifunza ndo maarifa yenyewe. Uandishi wako si mbaya sema katika hii story imekuwa plain sana. Kuna visa hukuviendeleza so inaonekana muuaji kama alikiwa anaua tu halafu anaendelea na maisha yake. Alipataje panga kumuu yule mfungwa mwingne kwenye gari na polis? So many questions. Endelea kutupa vitu jaribu tu kujibu maswali ndani ya andiko lako moja kwa moja. Otherwise hongera.

Kingine ukisoma fanya utafiti zaidi. Then nawe think ili usiandike tena habari za kuwa michael jackson na kanye west wamekuwa cloned.hicho kitu wanasayansi waliishia kwa nyani tu na hawakufanikiwa sana. Kwa binadamu no. So nakupongeza sana. Za kuambiwa uwe unachanganya na za kwako..... Ndo uandishi mzuri. Kinyume na hapo wewe ni mtu unayependa elimu sana. Achana na hawa madogo hawapendi kusoma na wanakosa maarifa. Endelea kupenda kusoma.
 
Ahsante kwa ushauri wako mkuu Gudume. Nimeupokea ushauri wako kaka.
Nitaendelea kujifunza zaidi Ahsante kwa ushauri mkuu.
 
Back
Top Bottom