The Iron Lady

The Iron Lady

jay milioni

Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
19
Reaction score
4
Mke wangu anafanya kazi kwa bidii na anajua sana kutafuta Pesa kihalali kabisa.
Hivi mwamke kama huyo anastahili Zawadi gani kama kichocheo ili aendeleze juhudi katika jitihada zake.
 
Jitahidi kuzitumia hizo fedha kila uwezavyo na kila unapozipatia nafasi
 
UPendo wa dhati. Mahaba yasiyo likizo, malavidavi si hadi weekend.
Mnunulie cheni ya dhahabu nzuri then weka kidani cha herufi "S" kumaanisha super woman!
Au mnunulie keki yenye maneno mazuriii mkate ninyi na umuelezee sifa zake zote. Usisahau tarehe14 february kumpelekea maua eh na kadi
 
Zawadi kubwa kwake ni kuonyesha kwa dhati kabisa kwamba unadhamini juhudi zake,kwa kumpenda,kumjali,kumsikiliza,kumsifia,n.k.
 
Zawadi kubwa kwake ni kuonyesha kwa dhati kabisa kwamba unathamini juhudi zake,kwa kumpenda,kumjali,kumsikiliza,kumsifia,n.k.
 
Kimsingi ni kuzidisha mapenz ktk familia yako na pia kumjalli sana mke wako na kuwa karibu nae
 
Mke wangu anafanya kazi kwa bidii na anajua sana kutafuta Pesa kihalali kabisa.
Hivi mwamke kama huyo anastahili Zawadi gani kama kichocheo ili aendeleze juhudi katika jitihada zake.

Kwanza aza kufatilia nyendo zake kiukaribu... kabla ya zenyewe kuanza kukufatilia na kuishia kupata presha..

Dont trust women...
 
Anza kumchunguza vizuri inawezekana kuna anayekusaidia kumpatia pesa
 
Back
Top Bottom