The Invisible Man!

x-paster umenikumbusha stori ya nani yule aliyewaambia watu ''Mungu yupo inside the room.If u ar a sinner u wont see Him''. Kila mtu akatoka na kutoa sadaka claiming they have seen God.LMAO!
 
Anaonekana KIVULI chake jamani.

Angalia upande wa kushoto, kwenye gauni la mama utaona kuna sehemu limebadilika RANGI na hata nywele zake kwa chini zina kama KIVULI hivi kuashiria kuwa kuna MTU maeneo hayo na analeta KIVULI fulani ingawa HAONEKANI.
 
mmh namuona kajishika kiuno...........bwabwabwaaaaaaaaaaah
 
Ahaaa ndiyo bana nimemuona,ngoja nimdodoshee mssg hapahapa ''Munama nifungulie basi na mimi niingie jukwaa la kikubwaaaaaaa....
 
Mkuu! hii picha ni ya racial related discrimination towards Black people! i wont condone this!
 
Kuna kaubaguzi hapa, au kwa kuwa ni mweusi huwezi kumuona!! Mimi nimemuona, angalia vzr utamuona:disapointed:
 
x-paster umenikumbusha stori ya nani yule aliyewaambia watu ''Mungu yupo inside the room.If u ar a sinner u wont see Him''. Kila mtu akatoka na kutoa sadaka claiming they have seen God.LMAO!
Ah ah ah, ile ilikuwa story ya Abdul au Abunuwas (soma Hekaya za Abunuwasi) kama sikosei, inasemekana jamaa alikuwa amechacha yaani hana hela sasa akaamuwa kuwadanganya wanachi kuwa kuna malaika ndani ya kibanda, na mtu ambaye hana dhambi ndiye atakaye weza kumuona...! Hapo hata mfalme aliingizwa mkenge...! Kwa kuveshwa nguo isiyo onekana...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…