The internet is still undefeated

Yaani sasa hivi wale jamaa wa Jamhuri ya Muungano wa Twitter na Ufipa wanajua kuwa wanamkera huyo mama.

Hahahaa aache kudemka na ngoma wazipigazo.
Wee mbuzi acha kudandia trending words and phrases in the local media. "Kudemka" is old headline news, wewe utakuwa umeisikia Wasafi FM four days ago cha ajabu unaishobokoea leo?
 
Mkuu heshima kwako,
Internet isn't that bad..
Mazuri acjukue ayafanyie kazi, uzush na uzandiki awaachie..
Kusema aachane na internet ni kujidanganya..
Kuwasikiliza wanasiasa pia wengi wana uzandkki na uzushi na maslahi...
She should w'man up enough to know the difference
Mimi, na wenye mawazo kama mimi, kuishi kwenye maneno kunahitaji uamuzi mgumu na utashi wa ziada. Hivyo yaliyomo kwenye hotuba, kamala uthibiti wa mitandao, yanaweza kubaki kwenye hotuba tu.
 
Hata mimi nimeitazama na kusikiliza hotuba yake mwanzo mwisho...

Ni hotuba nzuri, lakini akaharibu hapo mwishoni...

In my opinion, kukerwa kwake na "rumours" nani au nini kilimuua Mwendazake zinazovumishwa kwa kasi sana mitandaoni, ni ishara kuwa kuna ukweli hawataki ujulikane juu ya kifo cha JPM...

As you've said, internet can never be defeated..

Sasa ni kama amechokoza nyuki. Zitatoka ktk mzinga na kumrarua kila aliye mbele..

Asingeng'aka hadharani kwa hili..
Uhhhh
 
Hapo awali mapema Asubuhi ya Leo Vyombo vya habari, Media za Kijamii, mitandao na wataalam walivyobashiri hotuba ya Rais:



Baadaye Leo jioni:

22 April 2021
Dodoma, Tanzania

Hotuba ya Rais Leo Bungeni 22 April 2021

Mh. Samia Suluhu Hassan akilihutubia bunge mjini Dodoma Leo amesema serikali yake itaweka mazingira mazuri zaidi kuvutia uwekezaji kwa kuondoa urasimu usio na ulazima.

Mh. Rais wa awamu ya sita wa serikali ya Muungano wa Tanzania aliambia Bunge kuwa sekta binafsi ndiyo utii wa mgongo ktk kukuza uchumi na kutengeneza nafasi za ajira nyingi na soko kwa bidhaa za kuchakata mazao ya wakulima, wafugaji na kuongeza thamani madini.

Sekta binafsi kupitia uwekezaji wa ndani na toka nje, itachochea tija na ukisasa ktk uzalishaji mashambani, ufugaji na uvuvi kwani nchi hii Tanzania imejaliwa ardhi ,mabonde, maziwa, mito na ukanda mrefu wa bahari ya Hindi. Bila kusahau madini na utalii.

Bandari maalum za uvuvi kuanzishwa na meli nane za kisasa kununuliwa ili kufanya uvuvi katika bahari kuu.

Maeneo mahususi ya viwanda kujengwa kulingana na mazao yanayozalishwa ili kuwezesha mazao kuchakatwa kuzuia upotevu au uharibifu wa mazao baada ya kuvunwa na kutengeneza ajira ktk maeneo hayo ya nchi.

Maendeleo laini kupitia TEHAMA teknolojia ya habari na Mawasiliano kukuzwa ili kuwezesha Mapinduzi ya viwanda na uwekezaji kuweza kupatikana Tanzania unasisitizwa na serikali ya awamu ya sita kuelekea mpango wake wa Maendeleo ya miaka mitano inayoishia 2025.

Serikali Itatia mkazo Nishati mchanganyiko kama kutoka vyanzo vya mwanga wa Jua, thermal, gesi kujazia pale umeme wa nguvu za maji wa Rufiji JNHPP, Mtera, Kidatu n.k ambayo inaokabiliwa na tishio la mabadiliko ya tabia-nchi ili taifa liwe na uhakika wa nguvu za nishati kuendesha uchumi wake.

Kuna changamoto ktk Upatikanaji wa maji hivyo juhudi zaidi zinatakiwa. Pia elimu bure itazingatiwa ila mtaala wa elimu utalenga zaidi kuwa wa elimu-ujuzi ili kuendana na mazingira ya nchi na kuwezesha wahitimu kujiajiri tofauti na mitaala ya elimu ya sasa inayotoa wahitimu wasio na ujuzi wanaolilia kuajiriwa.

Mh. Samia Suluhu Hassan aliambia Bunge na taifa anakusudia kukutana na viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini ili kwa pamoja wakubaliane mustakhabali wa muelekeo nchi yetu.

Mh. Rais Samia Suluhu Hassan aliasa Bunge kujikita kufanya kazi ya kuwasemea wananchi ambao wamewatuma kuwa wawakilishi wao na kuachana kupoteza muda kuzungumzia yaliyo nje na yale waliotumwa na wananchi.

Pia Mh. Rais ameirai Bunge kuikosoa serikali na mawaziri hata inapobidi ukosowaji uwe mkali wafanye hivyo vikali sana, Mh. Rais anasema ni ruksa katika awamu yake ya sita ili kuleta ufanisi kwa shughuli za serikali kuwatumikia wananchi na nch vizuri..
 
Mwishoni mwishoni mwa hotuba ya Rais Samia kazungumzia mambo ayaonayo mitandaoni.

Mambo ya kizushi, ya kuchonganisha, na kila aina ya uzandiki.

Ni jambo jema. Ni jema kwa sababu linaonyesha haishi peke yake kwa kujitenga kwenye puto alimo yeye tu mwenyewe.

Anafuatilia kinachoendelea na kinachojiri kupitia yale wayasemayo watu awaongozao.

Ila, haya mambo inabidi awe makini nayo sana. Ni mara kadhaa ameyazungumzia haya yajiriyo kwenye mitandao.

Ni kana kwamba naye ‘anademka’ kwa yale yajiriyo huko.

Natumaini hataendelea kuyapa umuhimu kivile, la sivyo ataishia kucheua tu kwani the internet is still undefeated.
No one has tried to defeat the internet in the first place, so how the fu.c.k can the internet "still be undefeated"? Has your bird brained ass ever woke up one day with a claim about anybody making an attempt to defeat gravity and still failed?
 
No one has tried to defeat the internet in the first place, so how the fu.c.k can the internet "still be undefeated"? Has your bird brained ass ever woke up one day with a claim about any onebody making an attempt to defeat gravity and still failed?
Your ass is defeated 🤣
 
She shouldn’t pay them that much attention, at least not publicly.

By talking about them publicly and on several occasions, she gives the internet warriors, thugs, and activists, the satisfaction of knowing that they are in her head.

Not a good look.

She will never win going against what is said on the internet.
Unajua ukweli unauma sana,wewe unafikiri kwa nini Kikwete sasa hivi havai Barakoa,yaani ghafla tu kaacha kuvaa barakoa,yanayosemwa yawezekana yana ukweli ndo maana wanahaha,Magu walimuondoa,na wamejitahidi wamalize circle yake yote na Mpango alinusurika
 
Labda ameshapata chanjo ya AstraZeneca.
Unajua ukweli unauma sana,wewe unafikiri kwa nini Kikwete sasa hivi havai Barakoa,yaani ghafla tu kaacha kuvaa barakoa,yanayosemwa yawezekana yana ukweli ndo maana wanahaha,Magu walimuondoa,na wamejitahidi wamalize circle yake yote na Mpango alinusurika
 
Back
Top Bottom